Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

Siwezi kubali kukaguliwa mara mbili na wewe labda uite msaidiz wako anikague
Afanaaaleki... kufa hakuna breki!!

We mtoto utakuja kunitia aibu ukweni. Njoo nikukague ili nijue kiasi cha mahari yako...

Sijawahi kukukagua wallah. Isije ikawa ulitapeliwa kwenye ukaguzi.
 
Afanaaaleki... kufa hakuna breki!!

We mtoto utakuja kunitia aibu ukweni. Njoo nikukague ili nijue kiasi cha mahari yako...

Sijawahi kukukagua wallah. Isije ikawa ulitapeliwa kwenye ukaguzi.
tatizo lako unazeeka na kumbukumbu zimekutupa mkonoo
 
Tarehe kama ya leo, mwezi wa kwanza, mwaka 2011 (6th Jan 2011), Nilipata fursa ya kujiunga na Jamii Forums. Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kudumu humu jamvini mpaka sasa ..

SABABU YA KUJIUNGA
Habari za SIASA motomoto nilizokuwa nikizipata miaka ile kwenye JAMBO FORUMS, ndizo zilikuwa chachu ya mimi kujiunga tena...

KWA NINI TENA?
Baada ya kukaa nje ya mtandao kwa muda mrefu, nadhani Jambo Forums waliondoka na password yangu... Nilijaribu sana kukumbuka password lakini niliambulia patupu...."Sikuwahi kupata wazo la kuwauliza Mods"

MAFANIKIO
Nimeweza kupata marafiki wengi ,ambao tunafurahi pamoja, tunashirikiana katika mambo mbalimbali.Kimsingi wamekuwa ni sehemu ya familia yangu....
Lini ningekwenda Tanga na kuenjoy kiviile kama sio JF? Big Up sana Arusha-WING, TA-WING na DAR-WING....

Nimeweza kufuatilia mambo mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea Nchini,ya kupendeza,kuhuzunisha nk.... Daima nitashukuru kuwepo kwa Jukwaa la Siasa maana bila wao, hakika nisingefika hata huku Chit Chat....

SHUKRANI ZA PEKEE.

Ziwafikie Mods ambao mpaka sasa hawajawahi kunipa hifadhi kule BAN GUEST HOUSE... Nasikia kule kuna mateso balaa, alinidokeza Mungi . Muendelee na moyo huo huo, mkizidi kufanya kazi yenu kwa umakini, msinikumbuke kabisa katika huo ufalme wa BAN..

Pili kwa mume mpenzi Filipo ,kwa kunidaka juu juu.. Nakiri kwamba upinzani upo ,tena mkubwa toka kwa Smile , ladyfurahia , sweetlady Arabela amu ila sintolala usingizi kabisa.... Baadhi ya niliowataja kwa namna moja wanampenda au wanapendwa na mume wangu.... Nayahesabu kwamba ni mapungufu ya kibinadamu....
UJUMBE:
Mimi na Filipo hatukukutana barabarani ,na kama hamuamini angalieni lini tulijiunga JF....


Nawatakia Upendo, Furaha , na Mafanikio katika kila Jambo mtakalolipanga kwa mwaka huu mpya 2013...

Copy: PakaJimmy , Blaki Womani , Preta , Lily Flower , Arushaone , Mr Rocky , Mungi , Mzee wa Rula , LiverpoolFC , Erickb52 , Smile , Arabela , Dark City , madame V , Nicas Mtei na wengine ambao sijawataja...




Tumetoka mbali Sana My wife Wangu marejesho. Na wapinzani wako hawajawahi kukushinda. Hakika alichokiunganisha Hakuna wa kukitenganisha!
 
Karibu tena, ikfikia March mwaka huu unikumbushe na mimi nifurahie miaka tisa sasa
 
Back
Top Bottom