nilikuwa wapi kuona hii kitu jamani kweli siku hizi nimekuwa mvivu kutembelea jukwaa hili
hongera sana kwa kuwepo jf kwa muda huo bila ban ila mwambie Filipo anipe mzigo wangu kabla sijaanza makeke hapa hahahahaha bestito hongera sana
Amepotea kama Faru nani tena?
kumbe baba upo jamani ndo umetususa huku porini
Wewe kiumbe uliendaga wapi?
Sasa Anjari wapi?
Wow
Nimefurahi kuona mwandiko wako best. ....Long time
Wastaarabu wanasemaje?Those old good day!
Tupo tunabamba kama kawa!Wastaarabu wanasemaje?
Nitarudi chimbo langu ilo.Tupo tunabamba kama kawa!
Karibu sanaNitarudi chimbo langu ilo.
Yaani.... Natamani siku zirudi nyuma manake zilikuwa good kweli kweli mweeehThose old good day!
Mtoto wa Kirombo...umemisika sana.Yaani.... Natamani siku zirudi nyuma manake zilikuwa good kweli kweli mweeeh