Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,491
- 12,156
- Thread starter
- #161
Tangu uzaliwe hujawahi kuona dereva akiwakimbia polisi sababu ya leseni? Huenda hili wanalijua watu wanaohusika na haya mambo na sio kila mtu.Upuuzi na uongo. Yani leseni tu ndo ukimbie polisi? Watu wenyewe wameruhusiwa kuchukua buku 5 za kufuta vumbi? UONGO ULIOPITILIZA