Usiniogope mkuu mimi sio Takukuru najua laki ilikutoka mimi ni mkuu wao wa kazi walisema umetoa 50 hebu niweke wazi mkuu walinizungukaNi faini ya kuwakimbia tu....na baada ya kuhakiki tulikuwa wema kwa kuichangua gari kila mahali ilibidi waripoti katika radio call kuwa hatuna 'mzigo' (maana habari zilishaenea kwa simu ya upepo ili waongezewe vikosi na nguvu zaidi) wakuu wakasema waachieni iwapo wapo sawa.
Achana nae huyo mkuu hakuna ulipojisifia.Basi kausha.
Na haswa hilo ndiyo lengo langu watu wajihadhari.....nimekuwa tofauti na wale wanaopost mambo mazuri tu yanayo wakuta na mabaya kuyaficha.Mkuu pole sana,ila hongera kwa kupost maana pamoja na kipigo lakini ukaona ututahadharishe wenzako.
Huyu ametoa si chini ya laki mbili... Nimepita hapo saa tatu nikitokea mkinga kwa stori ilivyo, watakuwa wamemkamua vilivyo....Usiniogope mkuu mimi sio Takukuru najua laki ilikutoka mimi ni mkuu wao wa kazi walisema umetoa 50 hebu niweke wazi mkuu walinizunguka
Bora hata ingekuwa 30! Wale hawahusiki na hayo zaidi ya doria tu.....hili ni somo nililo lipata kwa wana usalama wetu na tangu sasa nitajifunza zaidi sheria za Nchi yangu niipendayo.Wewe ni mjinga yani ubahilii wa kulipa elf 30 ya fine ukataka kuua familia yako yote???
Je wangeamua kukumiminia risasi ingekuaje???? We umekua mwili tu lakini kichwani huna tofauti na le mutuz
Duuuu halafu eti anasema alilipa faini tu polisi walivyo na njaa hivi.tena nasikia aliwahamishia kwa tigo pesaHuyu ametoa si chini ya laki mbili... Nimepita hapo saa tatu nikitokea mkinga kwa stori ilivyo, watakuwa wamemkamua vilivyo....
Mimi ni dereva wa Lori na miaka mingi nipo barabarani ila hili sina wa kumbebesha zaidi ni kama changamoto.Yaani bado unajiona wa kiume kwa kuhatarisha maisha ya mwanao kisa leseni?? Mtu wa masafa yupi anaekimbia polisi?? Masafa na karina??? Masafa kutoka dar mpaka tanga?? Masafa leseni inaishaga??? Acha kujisifu ujinga wewe. Masafa hujui Hali ya kiusalama ya tanga??? Hujui ulivyomwathiri kisaikolojia mwanao... Ni mpaka utakapomgombeza akikosea halaf akuambie baba nitakuitia polisi sasa hivi... Ndo utajua ulifanya upumbavu. Eti masafa halaf unasikiliza mafundi wanakwambia kula kona....fundi mwenyewe hata sehewa hana. Yaani bwashe umezingua pumbavu kabisa.
Amemuathiri mtoto kisaikolojia... Mtoto atakuwa anamwambia baba nitakuitia polisi wakunyooshe sasa hivi.Duuuu halafu eti anasema alilipa faini tu polisi walivyo na njaa hivi.tena nasikia aliwahamishia kwa tigo pesa
Yaaani umeua kabisa. Mna utani na wagosi?Yaani bado unajiona wa kiume kwa kuhatarisha maisha ya mwanao kisa leseni?? Mtu wa masafa yupi anaekimbia polisi?? Masafa na karina??? Masafa kutoka dar mpaka tanga?? Masafa leseni inaishaga??? Acha kujisifu ujinga wewe. Masafa hujui Hali ya kiusalama ya tanga??? Hujui ulivyomwathiri kisaikolojia mwanao... Ni mpaka utakapomgombeza akikosea halaf akuambie baba nitakuitia polisi sasa hivi... Ndo utajua ulifanya upumbavu. Eti masafa halaf unasikiliza mafundi wanakwambia kula kona....fundi mwenyewe hata sehewa hana. Yaani bwashe umezingua pumbavu kabisa.
Upo sahihi mkuu hao walikuwa na subira kwa vile waliona na mtoto yupo ndani.Mkuu wangu mi yote hayo 9; mi bado akili yangu ipo kwa mtoto tu matokeo yangu akili imegoma kusikia la mnadi sala msikitini wala la mpiga kengele kanisanii!! Yaani kama isingekuwa mtoto... hii kwangu ingekuwa ni one of the best road adventure! Ingawaje mimi mwenyewe sifahamu uchungu wa mtoto kv sinae lakini nikiona mtu anacheza na maisha ya mtoto; nakuaga mkali sana... dada zangu wenyewe wananijua! Si unajua wanawake wanavyopenda kupiga watoto?! Hawawezi kufanya ushenzi kama huo mbele yangu hata siku moja.