Ilikuwa nife jioni hii ya leo!!!

Ilikuwa nife jioni hii ya leo!!!

Lazima una ekement za ualifu, hujui kutii sheria bila shurti??
Wewe mpumbavu kweli, kuwakimbia police siyo kuwa na element za uhalifu.
yeye ni binadamu, alikosea na hata mimi iliwahi kunitokea mwaka 2008,nilikutana Na gari la police kwenye junction nikiwa naendesha pikipiki, sikuwa na helmet na pia nilikuwa nimevaa t shet ya kijeshi, walinisimamisha nikagoma kusimama, nilikuwa na makosa kibao na wala leseni sikuwa nayo, hapo sasa ndo mambo yalianzia hapo, ilikuwa ni Geita, bahati nzuri nilikuwa na pikipiki Honda CC 300.
Siku hiyo ilikuwa ni balaa sitaisahau, niliwaacha mbali kumbe walikuwa wamewasiliana Kwa mbele nikaona defender nyingine ikija imewasha taa, bahati kwangu nilichepukia kwenye njia ya vumbi ndogo na wakashindwa kunipata, hilo Tatizo huweza kumpata mtu yeyote.
 
Usijali huo ndo unaitwa Uzembe plus japo umeshiriki movie za kihindi
 
Ungefanyiwa kama walivyofanya vijana wa afande Mbezo kwa wale wauza madini kule msitu wa Pande ah sorry pale Sinza palestina[emoji19] [emoji17] [emoji22]
 
Kutokana na sikukuu iliyo mbele yetu ya Eid el haji, nilifunga safari kuelekea Tanga ambapo ndiyo chimbuko la ukoo wangu.

Nilifika salama salmini na kwa kuwa niliwahi kuanza ujenzi siku za nyuma huko maeneo ya Mabokweni (mji ulio mbele ya Amboni na ni halmashauri ya Jiji la Tanga) nikaona nichukue nafasi hii nikamalizie kabisa kwa kuweka madirisha na milango ili nimweke japo mtu akae kwa kuwa sina malengo ya kuishi huko kwa sasa.

Kazi imeanza jana na leo ilikuwa ni siku ya kumaliza shughuli hiyo hivyo niliondoka na mafundi wangu asubuhi na kuelekea kwenye ujenzi, ilipofika jioni kama saa kumi na mbili na nusu kazi ikawa imekwisha hivyo tukaanza safari ya kurudi.

Nilikuwa na gari aina ya Carina nikiendesha huku ndani nikiwa mimi , mtoto wa kiume wa dada yangu wa miaka kama 21, mwanangu wa kiume wa miaka minne pamoja na mafundi watatu.

Ilikuwa ni safari yenye maongezi na furaha huku kukiwa na mziki mzito kutoka katika gari na nikiendesha kwa mwendo wa taratibu tu, ila kufika maeneo ya Mikocheni (karibu na amboni) nikasimamishwa na askari mmoja aliyesimama katikati ya barabara huku pembeni kuna gari ya polisi aina ya Land rover.

Nilianza kusimama lakini nikakumbuka leseni yangu imekwisha muda mrefu hivyo baada ya kujadiliana na wenzangu wakanipa moyo kuwa TEMBEA.

Nikaondoka taratibu ila kufika mbele kidogo nikagundua lile Land Rover linakuja kwa kasi kunifuata, hapa nikajikuta akili haipo na wenzangu wamechanganyikiwa pia hivyo nikaongeza speed zaidi na kujikuta kila ninavyotembea lakini ile gari bado naiona hali iliyopelekea kuitembeza gari kwa speed ya kutisha na bado nikihisi haitembei.

Hali ilikuwa ya kutisha maana pamoja na kuwa barabarani miaka mingi lakini hapa nilinusa harufu ya kufa (wanaoijua njia hiyo wanatambua vema namna ilivyo), hata hivyo tukashauriana na kuona ni bora niingie njia ya mtaani na mpaka hapo jamaa niliwaacha mbali sana lakini cha ajabu nilipoingia njia hiyo tu kwa kuwa kulikuwa na taa taa nikawaona wakiwa nao wanakuja kwa kasi na nusura wagonge watu watatu! Kwa kuwa njia ile ilikuwa mbaya sana na mashimo makubwa niona nizunguke na kuingia tena kwenye lami na nikanyooka tena, ni hofu kubwa niliyonayo na haswa ukizingatia nilijua hayatakuwa hayo yote hivyo nikajikuta sina ujasiri haswa kwa hofu ya kuiangusha gari maana speed ilishanipa wasiwasi.

Ghafla nikawaona jamaa wakiwa karibu kabisa na hapo nikaamua mwenyewe nipaki pembeni na wao wakapaki kwa mbele yetu na kuruka kwa kasi na kuivamia gari yetu huku wakiwa kama nane na bunduki mkononi.

Tukapigwa sana na kubebwa juu juu na kupakizwa katika bodi la gari yao huku kipigo cha bakora, makofi na virungu vikiendelea, wakasema nimewasumbua sana na kufika pale walishakoki bunduki ili kutushambulia iwe ni matairi au hata sisi......wakasema kwamba moja kwa moja walihisi sisi ni magaidi toka mapangoni na kuniadhibu sana huku wakiniuliza kwa nini nikimbie wakati najua wazi hali ilivyo hapa Tanga hivyo tungekufa kwa uzembe! Pia wakanilaumu kwa wao kuwakosa kosa watu kuwagonga,

Wenzangu wakaendelea kupigwa huku wamelala kwenye bodi na mimi nikatolewa nje chini ya ulinzi na kuambiwa niiwashe gari yangu maana niliizima na kuiwasha inataka maujanja maana switch haifanyi kazi, nikaiwasha na wakaiendesha wao na mimi nikapakizwa mbele katika gari la polisi.

Hatua kadhaa mbele tukakutana na gari nyingine mbili za polisi zikitoka Tanga mjini na tukasimama, kumbe mawasiliano yalifanyika wakati nawatoka polisi hivyo hawa walikuja kuniwekea target.

Hapo gari ikafunguliwa buti na kuanza kuipekua wakakuta tu kigunia kidogo cha mkaa na vifaa vya mafundi, hawakuridhika mkaa wakaumwaga wote kujiridhisha, wakachukua spare tyre na kuitoa upepo ili kujiridhisha na pia wakaipekua gari yote kila mahali lakini hawajakuta chochote kibaya.

Wakasema wao wanakuwa doria kwa sababu ya hali ya usalama eneo lile na pia kuzuia mirungi toka Kenya.

Nilijikaza kiume kwa kuona 'nimeshayakanyaga' na kuomba tuyajenge ila ilikuwa mbinde maana walishakuwa si chini ya thelathini wanawake kwa wanaume maana wengine walikuja kwa gari ndogo aina ya Mark x.......muda wote huo mwanangu alikuwa akilia sana kuona babaake nikila makofi hali iliyopelekea askari wa kike kupatwa na huruma na kukaribisha mazungumzo.

Niliyamaliza ki utu uzima na tukapewa gari yetu na kuendelea na safari japo wenzangu kule kumbe walichezea virungu zaidi.

Najiuliza iwapo ningeitia gari darajani kwa mwendo ule pengine tungekuwa chumba cha maiti sasa......najiuliza iwapo wangemimina risasi kwa mimi kukaidi agizo lao la kusimama, saa hizi tungekuwa chumba cha maiti......najiuliza kwa nini nisinge simama pale pale tu!
Japo hapa nilipo masikio bado yana mwangwi kwa sababu ya makofi mazito ya mfululizo na magoti yanawaka moto kwa virungu lakini bado naona yangekuwa makubwa zaidi hivyo nimejifunza mengi na namshukuru Mungu kwa yote.

KWELI KUZALIWA SIKU MOJA NA KUFA SIKU MOJA.
Pole sana mwenehhu mshuru mlungu Kwa kila jambo
 
Mbaya zaidi tungekupoteza mwana JF mwenzetu,tunahitaji sana mchango wako ,kimawazo ,ushauri nk mara nyingine ni vizuri kuwa makini hii kitu isijirudie.
 
Kwa nyakati hizi ni muhimu sana kutii sheria maana askari washaambiwa wawanyang'anye majambazi silaha so hata kama wangewarushia risasi visingizio vipo vingi tu.
 
Pole sana, kupigwa bila kurudishia hata kangumi kamoja inauma sana
 
Mkuu Pole sana
Sasa Dar unakimbia panya road,pia Usalama wa Raia polisi pia unawakimbia.

Samahni Mkuu
Ila Ukiwa baba ni lazima uonyeshe ubaba wako kwa watoto,moja ni kutii sheria ili familia ijue ina baba mwenye akili.
Wanao wanaweza kuwa na akili kubwa kuliko wewe,maana mafunzo ya baba kwa mtoto ni kutii sheria na hata mashuleni wanafundishwa.

Na suala la kudanganya hapa kwamba hatua na moment fupi namna ile ya driving ndio ikufanye ugundue leseni imeisha muda wake huo ni uongo,haya maisha ya Ujanja ujanja ndio watu mnafanya serikali muone inawabana.Hivi na humu JF unaona kama vile upo na watoto wako au?yaani leseni ujue ndani ya sekunde za kusimamishwa?

Ni kesi ya kawaida,ungesimama wala msingefika hatua hiyo,na watoto wako wangekuheshim sana kama Baba mwema mwenye kutii sheria kama jinsi wewe unavyowafunza wanao na jinsi wanavyofunzwa mashuleni.

Sasa kama watoto wanaona Baba ndio hivyo tena,inamaana umeisha waathiri saana tena sana kisaikolojia ila huwezi kuona athari muda huu,utaiona miaka kadhaa kwa wanao.Unaweza kufanya tukio ila athari kisaikolojia kwa watoto ikatokea baada ya miaka 5 mpaka 20.

Na ni bahati ni mchana,ingekuwa ni usiku basi wangekushoot.
Ushauri,kaa na wanao na hao uliokuwa nao uwaambie kwamba ulichemka,ili waone kwamba unaakili,la sivyo watakuona mbulula tu hata kama ni mdingi.
Matokeo yake umejitia aibu zaidi tena sana,na hakuna aibu kama hiyo mbele ya watoto,watoto na jamaa zako hawatoisahau mpaka wanakufa.

Wengine tumeisha endesha gari huku vibali vyoote vimeisha,ila ukikamatwa na ukiwa muwazi basi wanakusaidia namna ya hatua ya kuichukua.Polisi ni rafiki sana kama ukiwa na wewe umekubali makosa.Na suala la leseni kuisha muda wake wengi tunasau ku renew na Polisi wengi wanajua hilo,sasa hulishughulikia kirafiki zaidi tofauti na tunavyofikiria.
Sikupi Pole,ila nahisi wangekuongeza zaidi ya hapo,bahati yako walionea huruma familia yako.
Poleni Abiria mliopakiwa na Driver huyu alienunua license za mitaani maana hata sheria za ku drive bila kuwa na valid license hazijui,sijutii kwenda chuo cha Driving,maana kule mafunzo sio kuendelesha gari tu bali ni kujua sheria zote na haki kwa Driver.Mana kama ni kuendesha gari hata Mbwa ulaya wanaendesha magari,Sokwe ndio kabisaa,utasikia anaendesha ndege
 
Chombo ya kitambo sana mkuu japo mashine haijaguswa, kama ningejua nitafuatwa unafikiri ningeondoka? Hata ningekuwa na jet ningesubiri aisee.
sijaributenaa mpwaa walewanahisii umebeba mizigo yabandarini .kurusha moto KWENYE matairi Dk moja polesana njookanisalangu Basi utoe sadaka yaufufukoo else ungekuwa mfu
 
Kutokana na sikukuu iliyo mbele yetu ya Eid el haji, nilifunga safari kuelekea Tanga ambapo ndiyo chimbuko la ukoo wangu.

Nilifika salama salmini na kwa kuwa niliwahi kuanza ujenzi siku za nyuma huko maeneo ya Mabokweni (mji ulio mbele ya Amboni na ni halmashauri ya Jiji la Tanga) nikaona nichukue nafasi hii nikamalizie kabisa kwa kuweka madirisha na milango ili nimweke japo mtu akae kwa kuwa sina malengo ya kuishi huko kwa sasa.

Kazi imeanza jana na leo ilikuwa ni siku ya kumaliza shughuli hiyo hivyo niliondoka na mafundi wangu asubuhi na kuelekea kwenye ujenzi, ilipofika jioni kama saa kumi na mbili na nusu kazi ikawa imekwisha hivyo tukaanza safari ya kurudi.

Nilikuwa na gari aina ya Carina nikiendesha huku ndani nikiwa mimi , mtoto wa kiume wa dada yangu wa miaka kama 21, mwanangu wa kiume wa miaka minne pamoja na mafundi watatu.

Ilikuwa ni safari yenye maongezi na furaha huku kukiwa na mziki mzito kutoka katika gari na nikiendesha kwa mwendo wa taratibu tu, ila kufika maeneo ya Mikocheni (karibu na amboni) nikasimamishwa na askari mmoja aliyesimama katikati ya barabara huku pembeni kuna gari ya polisi aina ya Land rover.

Nilianza kusimama lakini nikakumbuka leseni yangu imekwisha muda mrefu hivyo baada ya kujadiliana na wenzangu wakanipa moyo kuwa TEMBEA.

Nikaondoka taratibu ila kufika mbele kidogo nikagundua lile Land Rover linakuja kwa kasi kunifuata, hapa nikajikuta akili haipo na wenzangu wamechanganyikiwa pia hivyo nikaongeza speed zaidi na kujikuta kila ninavyotembea lakini ile gari bado naiona hali iliyopelekea kuitembeza gari kwa speed ya kutisha na bado nikihisi haitembei.

Hali ilikuwa ya kutisha maana pamoja na kuwa barabarani miaka mingi lakini hapa nilinusa harufu ya kufa (wanaoijua njia hiyo wanatambua vema namna ilivyo), hata hivyo tukashauriana na kuona ni bora niingie njia ya mtaani na mpaka hapo jamaa niliwaacha mbali sana lakini cha ajabu nilipoingia njia hiyo tu kwa kuwa kulikuwa na taa taa nikawaona wakiwa nao wanakuja kwa kasi na nusura wagonge watu watatu! Kwa kuwa njia ile ilikuwa mbaya sana na mashimo makubwa niona nizunguke na kuingia tena kwenye lami na nikanyooka tena, ni hofu kubwa niliyonayo na haswa ukizingatia nilijua hayatakuwa hayo yote hivyo nikajikuta sina ujasiri haswa kwa hofu ya kuiangusha gari maana speed ilishanipa wasiwasi.

Ghafla nikawaona jamaa wakiwa karibu kabisa na hapo nikaamua mwenyewe nipaki pembeni na wao wakapaki kwa mbele yetu na kuruka kwa kasi na kuivamia gari yetu huku wakiwa kama nane na bunduki mkononi.

Tukapigwa sana na kubebwa juu juu na kupakizwa katika bodi la gari yao huku kipigo cha bakora, makofi na virungu vikiendelea, wakasema nimewasumbua sana na kufika pale walishakoki bunduki ili kutushambulia iwe ni matairi au hata sisi......wakasema kwamba moja kwa moja walihisi sisi ni magaidi toka mapangoni na kuniadhibu sana huku wakiniuliza kwa nini nikimbie wakati najua wazi hali ilivyo hapa Tanga hivyo tungekufa kwa uzembe! Pia wakanilaumu kwa wao kuwakosa kosa watu kuwagonga,

Wenzangu wakaendelea kupigwa huku wamelala kwenye bodi na mimi nikatolewa nje chini ya ulinzi na kuambiwa niiwashe gari yangu maana niliizima na kuiwasha inataka maujanja maana switch haifanyi kazi, nikaiwasha na wakaiendesha wao na mimi nikapakizwa mbele katika gari la polisi.

Hatua kadhaa mbele tukakutana na gari nyingine mbili za polisi zikitoka Tanga mjini na tukasimama, kumbe mawasiliano yalifanyika wakati nawatoka polisi hivyo hawa walikuja kuniwekea target.

Hapo gari ikafunguliwa buti na kuanza kuipekua wakakuta tu kigunia kidogo cha mkaa na vifaa vya mafundi, hawakuridhika mkaa wakaumwaga wote kujiridhisha, wakachukua spare tyre na kuitoa upepo ili kujiridhisha na pia wakaipekua gari yote kila mahali lakini hawajakuta chochote kibaya.

Wakasema wao wanakuwa doria kwa sababu ya hali ya usalama eneo lile na pia kuzuia mirungi toka Kenya.

Nilijikaza kiume kwa kuona 'nimeshayakanyaga' na kuomba tuyajenge ila ilikuwa mbinde maana walishakuwa si chini ya thelathini wanawake kwa wanaume maana wengine walikuja kwa gari ndogo aina ya Mark x.......muda wote huo mwanangu alikuwa akilia sana kuona babaake nikila makofi hali iliyopelekea askari wa kike kupatwa na huruma na kukaribisha mazungumzo.

Niliyamaliza ki utu uzima na tukapewa gari yetu na kuendelea na safari japo wenzangu kule kumbe walichezea virungu zaidi.

Najiuliza iwapo ningeitia gari darajani kwa mwendo ule pengine tungekuwa chumba cha maiti sasa......najiuliza iwapo wangemimina risasi kwa mimi kukaidi agizo lao la kusimama, saa hizi tungekuwa chumba cha maiti......najiuliza kwa nini nisinge simama pale pale tu!
Japo hapa nilipo masikio bado yana mwangwi kwa sababu ya makofi mazito ya mfululizo na magoti yanawaka moto kwa virungu lakini bado naona yangekuwa makubwa zaidi hivyo nimejifunza mengi na namshukuru Mungu kwa yote.

KWELI KUZALIWA SIKU MOJA NA KUFA SIKU MOJA.
Wakati mwingine mnasema Polisi wabaya kumbe ninyi wenyewe ndio mnawachokoza, wewe unajua maeneo hayo yalivyo halafu unasimamishwa unakataa ulitegemea nini? Tena shukuru huyu mtoto uliyekuwa naye labda ndio mkahurumiwa. Leseni tu ndio unataka kusababisha vifo vya wasiokuwa na hatia, nimekushangaa.
 
ulifanya kosa kubwa sana,ungeendelea, wangejua wewe ni gaidi na wangerusha risasi kwenye gari yako, hadi kuja kugundua wewe si gaidi, ungeshakuwa maiti.
 
Leseni huna Tanga tuu hapo unasumbuka wenzio tukisahau Leseni Tanzania na tupo Johannesburg gari haina matatizo tunaendesha mpaka Tanzania toka SA na wote huko wanakuelewa umesahau Leseni kweli wewe ni shida sema kutokua kabisa na Leseni hapo ni kosa ila unayo umeisahau sehemu hata ikitokea ajali inatumwa tuu..,
 
Dah...hakuna cha polisi wala gari la polisi...ni mawenge tu ya Tanga. Siku nyingine ukimuona polisi katikati ya barabara usijaribu kumkwepa....mpelekee nzima nzima....huwa ni majini..karibu Tanga[emoji4]
 
Usirudie tena tabia kama hiyo kama huna uzoefu wa kuendesha gari kwa speed. Muda mwengine askari huwa na hamu ya kufukuzana na watu, naona siku hiyo ulikuwa umeyakanyaga ndio maana kila ukikata mbw.a kona hiyo hapo, sasa ukaona isiwe tabu bora kusimama. Na wasingekupiga risasi sababu wanazo intelijensia za kutosha to kuhusu uhalifu na mpaka ukisikia risasi imerushwa basi ujue wewe ni muhalifu. Ila ningekuwa mimi mzoefu na hayo magari wasingenipata, kwanza ningezima taa alafu yakafuata mambo mengine ila nisinge fanya fujo sana sababu nisingetaka kulipoteza jeshi tukufu la polisi.Kuna jamaa fulani huwa anachukuliwa na polisi wakati wa usiku kufanya doria lakini yeye si polisi ila walimpenda siku alipokimbizana na polisi usiku high speed huku akiwa amezima taa. Baadae intel zikaja kumbe jamaa alikuwa fundi magari.

Onyo: Usijaribu hili ni hatari.

Tii sheria bila shuruti.
 
Mimi sioni umuhimu wa kukupa pole,kwa umri unaonekana ni MTU mzima ,yaani kwa umri wako huku umepakia mtoto wako mdogo unaamua kurisk maisha kwa kukimbia polisi kisa leseni??huo ni ubwege wa kiwango cha lami, polisi hakimbiwi kwa kosa la barabarani sababu yana utaratibu wa kumalizana barabarani,,ungekula makofi zaidi kwa kuhatarisha maisha ya mtoto
 
Hivi watu nyie mkoje??
Ungepigwa risasi ungelaumu hao polisi kweli???
Akili nyingine Ni majanga sana!!
 
Back
Top Bottom