Akhsante mkuu, muda wote nilipokuwa naitafuna lami sikuhisi ukubwa wa tatizo maana nilijua hawatanikamata maana hiyo ni gari ambayo naitumia sana hivyo imelala kichwani.Pole sana mkuu,kwa kuwa umejiuliza maswali ya msingi wewe mwenyewe basi naimani siku nyingine likitokea jambo kama hili utafanya maamuzi yenye maana.
Hivi mafundi hawakuchfua hali ya hewa kweli ulipokuwa kwenye spidi kali?
Ndo maana una akili mbovu,... Unamsikiliza dadako anayekwambia kimbia polisi wa kwenye barrier. Kipindi hiki ambacho tanga ni tete na hayo ndo maeneo ya tukio..... Tena una bahati, asilimia kubwa kule ni wajeda... Ungelazwa chini Mara moja. Kunywa bia upate akili.Matusi, kejeli na dharau havinifikirishi.....nafikiria tu yaliyonisibu na kumshukuru Mungu, kuhusu bia sijawahi kunywa tangu kuzaliwa kwangu.
Umemuathiri sana mtoto, kisaikolojia, japo ww unachukulia poaAlilia sana kuona babaake nanyang'anyiwa mithili ya kitoweo hadi askari wa kike wakapata huruma, pia amesaidia maana waliona ni vigumu wahalifu kutembea na mtoto mdogo.....muda wote alilia baba...baba...twende nyumbani!
Upigwe wewe niridhike mimi hakuna kitu kama hicho ..usipende kupewa pole kwa vitu vya kujitakia yaani una leseni ambayo imeisha muda wake+umesimamishwa ukakaidi huku ukijua umebeba roho za familia yako na hao mafundi ila bado uliendesha gari kwa spidi kali,huoni kama ungeweza funguliwa kesi ya kujaribu kuua kwa makusudi? Halafu unajitetea kuwa siyo wewe tu wa kwanza kufanya hivyo wapo wengine pia hufanya hivyo huu ni utetezi wa kijinga mana inabidi ujiongelee/ujitetee wewe kamaNimeshavipata vya kumwaga hivyo ridhika kuwa unachoona nastahili nimekipata, hata hivyo imetokea kama ajali na sikuwa na sababu yeyote ya kufanya hayo haswa kwa kuwa si mgeni wa njia ile.
Nijitetee kwako wewe kama nani? Acha uoga wa kipuuzi mzee ile ilikuwa ni game imeshatokea hivyo ilibidi ichezwe.....nadhani ingekuwa wewe sidhani kama ungejimudu kusogea japo kilomita moja!Upigwe wewe niridhike mimi hakuna kitu kama hicho ..usipende kupewa pole kwa vitu vya kujitakia yaani una leseni ambayo imeisha muda wake+umesimamishwa ukakaidi huku ukijua umebeba roho za familia yako na hao mafundi ila bado uliendesha gari kwa spidi kali,huoni kama ungeweza funguliwa kesi ya kujaribu kuua kwa makusudi? Halafu unajitetea kuwa siyo wewe tu wa kwanza kufanya hivyo wapo wengine pia hufanya hivyo huu ni utetezi wa kijinga mana inabidi ujiongelee/ujitetee wewe kama
wewe bila kuhusisha wengine
Japokuwa nimeona na madhaifu makubwa pale niliposimama na wao wote wakaja mbio kukimbilia kufungua mlango wangu bila tahadhari yeyote, najiuliza je ingekuwa ni magaidi kweli wenye silaha je wasingeitumia nafasi hiyo kudhuru!?Safi sana mkuu hivyo ndio inavyotakiwa walau umejionea jinsi jeshi letu lilivyo hodari kupambana na uhalifu kwa "intelijensia" ya kuhisi ugaidi, ila sasa siku ingine ukiona wanakukaribia kimbilia kabisa kituoni ukaombe poo
Hili la dada umelitoa wapi? Umejiona sasa usivyo na akili kichwani na kukurupuka? Acha uoga mtoto wa kiume sisi watu wa masafa hii ni kitu ya kawaida ila tu nimeleta hapa ili watoto wamama kama wewe wajue inawezekana pale inapobidi.Ndo maana una akili mbovu,... Unamsikiliza dadako anayekwambia kimbia polisi wa kwenye barrier. Kipindi hiki ambacho tanga ni tete na hayo ndo maeneo ya tukio..... Tena una bahati, asilimia kubwa kule ni wajeda... Ungelazwa chini Mara moja. Kunywa bia upate akili.
Mbona unaweweseka kuna sehemu nimekwambia ujitetee kwangu? Usionyeshe umwamba kwa vitu ambavyo huviwezi na kama unavyojinasibu kuwa si muoga usingesimamisha gari ungeendelea na mwendo sasa wewe unafika mbele unasimama halafu unaleta umwamba upo na watoto hizo akili matope? Onyesha uhodari wako ukiwa pekee ako kwenye gari siyo unawaingiza matatizoni watu wengine ambao hata hawakustahiliNijitetee kwako wewe kama nani? Acha uoga wa kipuuzi mzee ile ilikuwa ni game imeshatokea hivyo ilibidi ichezwe.....nadhani ingekuwa wewe sidhani kama ungejimudu kusogea japo kilomita moja!