Pole yangu ni kwa huyo mtoto na sio wewe baba mtukutu!! Unaomba ushauri kwa wajenzi ulitarajia wakuambie nini kama sio "kula kona?!" Nawe ukafanya hivyo bila kukumbuka kwamba upo na mtoto mdogo ndani!! Did you really expect polisi wangekuachia hata baada ya kukuona unawakimbia kwa kasi kubwa hivyo?! Kama ulitarajia wangekuachia, kulikuwa na umuhimu gani basi wa polisi kuwa na road patrol kwa kutumia magari... wanafahamu, wahalifu watawakimbia tu kwahiyo na wao wapo standby kumtoa nduki yeyote!
Umesema upo barabarani kwa muda mrefu! Hebu rejea umefanya matukio kama hilo au yanayofanana na hilo mangapi! Ikiwa ni tukio lako la kwanza, nitajilazimisha kukuelewa lakini kama umeshawahi kufanya kitu kama hicho huko nyuma, basi ningekushauri usiwe unatembea na mtoto unless kama una sababu za msingi za kufanya hivyo. Hapo ulihatarisha sana maisha ya mtoto bila sababu za msingi. Ukaingia mitaani... huko nako kuna watoto; aaaaargh!!