jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,243
Rasmi sasa urafiki wa kinafiki baina ya JPM na Kagame u mbioni kukoma hii ni kwa sababu ya mmoja wapo ni mnafiki-PK.
Kuna sintofahamu kubwa pale mpakani mwa Tanzania na Rwanda pale Rusumo ni baada ya Serikali ya kuamua madereva wote wa gari za Rwanda kupimwa Covid 19 na ili waruhusiwe kuendelea na safari ni lazima wangojee majibu ya vipimo kwa muda wa siku 7 pale mpakani ndiposa kwa wale majibu yao yakiwa sawa wataruhusiwa kuendelea na safari na wale majibu yao yakiwa chanya watazuiliwa kuingia Tanzania.
Hali hiyo inaonekana ni wazi Serikali ya Tanzania imeamua kulipa kisasi kwa namna madereva wa Tanzania wanavyo fanyiwa hasa wawapo upande wa Rwanda.
Ikumbukwe dereva yeyote wa Tanzania aikiingia upande wa Rwanda anapaswa;
Kwanza muda wote awe anasindikizwa na askari polisi wenye silaha!
Pili muda wote haruhusiwi kuchangamana kwa namna yeyote ile na wananchi wa Rwanda hii ni pamoja na kutoruhusiwa kula chakula mgahawani,kununua mahitaji yeyote ya msingi hawaruhusiwi!
Tatu na kwa masharti magumu hasa ni gari chache tu za Tanzania zinaruhusiwa kufaulisha mzigo na gari za kampuni mama zilizopo Tanzania tena kwa lazima dereva awe na work permit pia lazima awe na cheti cha majibu ya maabara yao ya Taifa.
LAKINI LILILO BAYA ZAIDI NI UNYANYAPA WANAOFANYIWA WATZ KWAKWELI NI ZAIDI YA USHETANI!WANATEMWA HADI MATE!
Katika maamuzi hayo ya Serikali yetu ya Tanzania niwe wa kwanza kuipongeza kwalo.Kwa hakika Nchi ya Rwanda nje ya ujirani ni watu wabinafsi na wanafiki sana na hao dawa yao ni man to man!
MUNGU IBARIKI TANZANIA.