Ilikuwa ni vigumu kwa 'unafiki' wa Kagame kuendelea kuwa rafiki wa Magufuli

Kubomoa jengo la shrika la uma NHC badala ya kulipangisha kwa mpangaji mpya ili liendelee kuliingizia shirika na Taifa fedha sio unafiki huo kwa mtu anayejiita mzalendo!? Sasa lile likiwanja lililo wazi pale miaka 4 sasa limeingiza shilingi ngapi!? Nazungumzia jengo Billcanasilipokuwa imepanga.
 
Rasmi sasa urafiki wa kinafiki baina ya JPM na Kagame u mbioni kukoma hii ni kwa sababu ya mmoja wapo ni mnafiki-PK.

Kuna sintofahamu kubwa pale mpakani mwa Tanzania na Rwanda pale Rusumo ni baada ya Serikali ya kuamua madereva wote wa gari za Rwanda kupimwa Covid 19 na ili waruhusiwe kuendelea na safari ni lazima wangojee majibu ya vipimo kwa muda wa siku 7 pale mpakani ndiposa kwa wale majibu yao yakiwa sawa wataruhusiwa kuendelea na safari na wale majibu yao yakiwa chanya watazuiliwa kuingia Tanzania.

Hali hiyo inaonekana ni wazi Serikali ya Tanzania imeamua kulipa kisasi kwa namna madereva wa Tanzania wanavyo fanyiwa hasa wawapo upande wa Rwanda.

Ikumbukwe dereva yeyote wa Tanzania aikiingia upande wa Rwanda anapaswa;

Kwanza muda wote awe anasindikizwa na askari polisi wenye silaha!

Pili muda wote haruhusiwi kuchangamana kwa namna yeyote ile na wananchi wa Rwanda hii ni pamoja na kutoruhusiwa kula chakula mgahawani,kununua mahitaji yeyote ya msingi hawaruhusiwi!

Tatu na kwa masharti magumu hasa ni gari chache tu za Tanzania zinaruhusiwa kufaulisha mzigo na gari za kampuni mama zilizopo Tanzania tena kwa lazima dereva awe na work permit pia lazima awe na cheti cha majibu ya maabara yao ya Taifa.

LAKINI LILILO BAYA ZAIDI NI UNYANYAPA WANAOFANYIWA WATZ KWAKWELI NI ZAIDI YA USHETANI!WANATEMWA HADI MATE!

Katika maamuzi hayo ya Serikali yetu ya Tanzania niwe wa kwanza kuipongeza kwalo.Kwa hakika Nchi ya Rwanda nje ya ujirani ni watu wabinafsi na wanafiki sana na hao dawa yao ni man to man!

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Kwenye hii mipaka ni nchi gani tunayoisifu au kusikilizana nayo?

Suluhu ya mipaka hii ilikuwa kuifunga tu.

Hakuna protocol moja. Mwingine wananchi wake wote wana Corona, mwingine ana ahueni maingiliano lazima yalete shida tu.
 
Magufuli kaipa familia yangu nyumba ya dola za Kimarekani milioni tatu hapo Oysterbay Dar es salaam.

Mimi nipo Marekani tangu Kikwete hajawa rais.

Maumivu ya Magufuli naanza kuyasikilizia wapi hapo?

Mimi kama ningekuwa mtu wa kuangalia mambo ya binafsi, ningetakiwa kumuimbia sifa sana Magufuli kwa jinsi alivyoifaidisha familia yangu.

Lakini, naangalia principles.

Wewe binafsi na familia yako, ukiacha habari za kitaifa, Magufuli kawafaidisha vipi?
Sasa Kama uko marekani ya tz yanakuwasha nn!!..We umechagua kuishi uko ,usitupangie maisha over
 
Huwezi kunichagulia nani nimsome na nani nimpeleke ignore list.

That is a fact.

Ignore list imewekwa kwa sababu maalum.

That is a fact.

Ni bora nikuweke ignore list nisione uharo wako kuliko tuanze kutukanana hapa.
Unaugongwa wakuserudia rudia neno "that the fact" ....au ndo umeambiwa huo ndo ujanja....
 
Umeshindwa hoja, unaleta viroja.

Siamini Shetani yupo, kwa sababu siamini Mungu yupo.

Usitoke nje ya mada.

Magufuli ni mnafiki.

Anajifanya kupiga vita rushwa, wakati yeye mwenyewe kamuhonga hawara wake Kabula nyumba ya serikali.

That is a fact.
Kwaiyo naww ulitaka akuhonge?
 
Ikiwa hakuna kiongozi asiye na unafiki kwa nini mumtaje Kagame kwa unafiki?

Kama hakuna kiongozi asiye na unafiki, umekubali na Magufuli ni mnafiki?
Ivi pk n bwana ako mbona ckuelewi....tunaongelea international affairs unapotezea unaleta maada za domestic affairs.....una shida ww
 
Hi maada nzuri nanilitaka kuona watu wanavotoa fact kuhusu dipromasia Kat ya nchi mbili....shida n huyu jamaa kiranga.... comment nzima anasumbua watu ilimradi tu waache maada
 
Ivi pk n bwana ako mbona ckuelewi....tunaongelea international affairs unapotezea unaleta maada za domestic affairs.....una shida ww
Rais ni number one diplomat wa nchi.

Character yake kwa nini isiwe mjadala katika international affairs?
 
Rasmi sasa urafiki wa kinafiki baina ya JPM na Kagame u mbioni kukoma hii ni kwa sababu ya mmoja wapo ni mnafiki-PK.

Kuna sintofahamu kubwa pale mpakani mwa Tanzania na Rwanda pale Rusumo ni baada ya Serikali ya kuamua madereva wote wa gari za Rwanda kupimwa Covid 19 na ili waruhusiwe kuendelea na safari ni lazima wangojee majibu ya vipimo kwa muda wa siku 7 pale mpakani ndiposa kwa wale majibu yao yakiwa sawa wataruhusiwa kuendelea na safari na wale majibu yao yakiwa chanya watazuiliwa kuingia Tanzania.

Hali hiyo inaonekana ni wazi Serikali ya Tanzania imeamua kulipa kisasi kwa namna madereva wa Tanzania wanavyo fanyiwa hasa wawapo upande wa Rwanda.

Ikumbukwe dereva yeyote wa Tanzania aikiingia upande wa Rwanda anapaswa;

Kwanza muda wote awe anasindikizwa na askari polisi wenye silaha!

Pili muda wote haruhusiwi kuchangamana kwa namna yeyote ile na wananchi wa Rwanda hii ni pamoja na kutoruhusiwa kula chakula mgahawani,kununua mahitaji yeyote ya msingi hawaruhusiwi!

Tatu na kwa masharti magumu hasa ni gari chache tu za Tanzania zinaruhusiwa kufaulisha mzigo na gari za kampuni mama zilizopo Tanzania tena kwa lazima dereva awe na work permit pia lazima awe na cheti cha majibu ya maabara yao ya Taifa.

LAKINI LILILO BAYA ZAIDI NI UNYANYAPA WANAOFANYIWA WATZ KWAKWELI NI ZAIDI YA USHETANI!WANATEMWA HADI MATE!

Katika maamuzi hayo ya Serikali yetu ya Tanzania niwe wa kwanza kuipongeza kwalo.Kwa hakika Nchi ya Rwanda nje ya ujirani ni watu wabinafsi na wanafiki sana na hao dawa yao ni man to man!

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Mama anaenda Rwanda unasemaje
 
Back
Top Bottom