Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,730
- 2,850
Kila siku hizo story za kupewa nyumba na kuishi marekani
Hata ungepewa nyumba zote za masaki na Oyesterbay bado huna furaha wewe
Inainyesha wazi una matatizo ya kisaikolojia
Uandish wako unaeleza
Kuishi USA sio ndio kuwa na furaha
Hahahaaa
Kama anaishi marekani ya huku tz yanamuhusu nini? Apambane na ya trump na wazungu kwa jinsi wanavyo watungua na manati kama njiwa.
Kuna kijana alitoka huko marekani tupo nae hapa jirani lakini utadhani alitokea polini, hata mtu akikwambia huyo jamaa aliishi marekani zaidi ya miaka kumi na zaidi hutakubali mpaka wakuue
Kwa hiyo hata marekani wapo wajingawajinga.