FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,108
- 13,346
Kiranga Kiranga Mzee alikuwa Ex-General au???Mimi Msukuma.
Na hapo nakupa sababu nyingine zaidi, kwa watu wanaosema ninamsema Magufuli kwa chuki binafsi, kwamba namsema kwa principle, si kwa chuki binafsi.
Kwa sababu, ningeweza kuondoa principle nilete ukabila kusema huyu mzee wa kwetu, zamu yetu kutesa, nimsifie.
Magufuli anamuheshimu sana Mzee wangu wamefanya naye kazi miaka mingi.Kiukweli ni kama mzee wangu.
Lakini, mimi najali principles.
Siangalii kwamba Msukuma, siangalii anajuana na mzee wangu.
Naangalia principles za uongozi tu.
Kwamba, kama tunamsema Kagame mnafiki, Magufuli naye hatuwezi kumuacha.
Magufuli anajinadi kupiga vita rushwa, wakati alimuhonga nyumba ya serikali hawara wake Kabula.
Huo nao ni unafiki.
Sasa, kama tunataka kumshambulia Kagame tu, tunatumia habari ya unafiki kinafiki, sawa.
Lakini, kama tunataka kweli kumulika unafiki, Magufuli naye mnafiki.