Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 7,023
- 9,261
[emoji23][emoji23][emoji23]Haina shida hutadaiwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Haina shida hutadaiwa
Kweli aisee na bolt hazinaga spareFahari ya macho tu hiyo.. Unaweza kukuta bolt [emoji374] zote zimelegea
Ni unafiki tu ndugu yangu
Wewe nae acha kua na akili za kushikiwa,huyo mleta mada ni mumeo? Mbona hua kinakuwasha sana akisemwa? Au ndio unajilinda na ID zako zingine? Maana nasikia mleta mada ana ID kibao humu JF za kuwaaminisha watu ujinga wake.Acha mikwara kijana, Mshana Jr hatishwi kufa, he is mortuary attendant
Kama tumemsahau vuvuzela Wa ufipa aliyepigwa risasi na akwilina itakuwa trilioni 1.5? Tupo na masogange akitokea mwingine upepo unahama akili zetu tunazijua wenyeweHivi hicho kifo ni kitu cha ajabu sana kiasi kwamba wa Tanzania au tuseme wana Darisalam kuahamishie akili zetu natural thing kiasi kwamba tunasahau 1.5 trillion ?? Tunasahau 26.4
Kwa nini utumie fake account?unamugopa nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unaingia tu kusoma dada kaweka nini unatoka. Mwenyewe dada nimemfollow kwa fake account
Dada wa taifa kasema hawezi changanya Maandamano na hiki kifo anasibiri maandamano yapite atatoa Full mkanda kuhusu kifo cha Huyu Mdada Stay tune it!Kwani dada wa taifa anasemaje???
Hivi ni typhoid ama asthma!!?
Staki nataka.
Chahali kaandika nini mkuu???Natega macho mkuu. Kaka mshana, hii habari anayoiandika mkuu Chahal Evarist inanitisha sana. Natamani unipe uchambuzi japo kidogo. Naomba kwako kwa sababu ya imani yangu kwako.
[emoji23]Basi na yeye anakupa hakupi!
Ms LincolnMjomba!Nasemaje waacheni watu wafe kwa amani.Maandamano yasiwe chanzo cha kusimamisha any natural creation.Death is natural.
Hata tukijamba sasa itakuwa tunataka kuwatoa kwenye reli.
Nambie PilatoMs Lincoln