Ilikuchukua muda gani kumfukuzia hadi akakupa?

Ilikuchukua muda gani kumfukuzia hadi akakupa?

Kwa hali ilivyo sasa kama mpo mkoa mmoja muda ukizid sana mweZ...mwezi ukipita ujue hakupend
 
kuna mtu namzungusha tangu novemba last year naye hata hakati tamaa kila siku tunaongea kwa m-pesa tu sasa pasaka kaniambia atakuja kunitemelea huku kijijini nilipo sijui itakuaje mana naishi geto peke angu!!
 
Zile za kuchat kwa simu kama miez 6 hv then cku mkikutana kinahappen hahahahahaaa a a a a a a. ni balaaa
 
kuna mtu namzungusha tangu novemba last year naye hata hakati tamaa kila siku tunaongea kwa m-pesa tu sasa pasaka kaniambia atakuja kunitemelea huku kijijini nilipo sijui itakuaje mana naishi geto peke angu!!

Jitayarishe tu akifika kimoja cha fasta...
Friendly mechi
 
vijana mna mambo!! Sisi wazee tunasoma tu viroja vyenu.
 
katika hili kila mtu ana slogan zake!!

kama sera zako ziko ki CDM, basi utakimbiwa sana tu!

ila kama ziko ki-Green zaidi, kupata ni rahisi mno!
 
kuna mtu namzungusha tangu novemba last year naye hata hakati tamaa kila siku tunaongea kwa m-pesa tu sasa pasaka kaniambia atakuja kunitemelea huku kijijini nilipo sijui itakuaje mana naishi geto peke angu!!
mahondaw! hii habari ya kuishi peke yako ni ya ukweli?...!! kulaleki..!

wallahi nahamisha KJ 324 kutokea kitunda mpaka kibamba!!

lazima kieleweke semista hii ya mavuno!!
 
Last edited by a moderator:
Mm nilichukua chumba kabisa halafu ndo nikaanza kutongoza kwa kuwa nilijua lazima nipewe.
 
Nimepiga simu mchana saa kumi nimekula mzigo hapa naugulia mgongo
 
Salaam sana wana JF! Jana kuna rafiki yangu kanishangaza sana, aliniambia bado kuna demu anamfukuzia tangu january hadi sasa bado hajapewa penzi.

Wao ni out, kumsaidia mahitaji yake ya hapa na pale, mizinga kwa sana, story n.k.

Jamaa yangu mwingine kazini alikutana na demu kwenye daladala jumamosi halafu jana kaniambia katoka kula mzigo wa dada huyo jana, jumatanao; yaani siku nne tu. Kwa nini tofauti hivi? Mwanaume, mwanamke tutafute wastani sasa.

Ilikuchukua muda gani tangu kufahamiana na mtu wako hadi kufanya nae tendo (mapenzi/sex) la kwanza? Maana wengine wanasema siku hizi mjini tunamalizana leo leo tu.
8 years
 
Tulikuwa marafiki kwa miezi mitatu huku tukipiga story za hapa na pale bila kutongozana, ikaja kpind akamwagwa na bf wake nami nikajtahd kumshauri nini akifanye wakati huo.
Kuna siku nimeenda kumtembele kwake tukawa tunapipa story tu za hapa na pale kuhusu mahusiano na urafiki ghafla nikajikuta nipo kitandani kwake kifua wazi nimefunikwa taulo sikujua kilichoendelea.
Kesho yake nikapata text ikisomeka "K..., mwenzio nimeshindwa kukuvumilia naomba nikuambie tu nakupenda naomba uokoe moyo na nafsi yangu inayoteseka...."
 
Salaam sana wana JF! Jana kuna rafiki yangu kanishangaza sana, aliniambia bado kuna demu anamfukuzia tangu january hadi sasa bado hajapewa penzi. Wao ni out, kumsaidia mahitaji yake ya hapa na pale, mizinga kwa sana, story n.k. Jamaa yangu mwingine kazini alikutana na demu kwenye daladala jumamosi halafu jana kaniambia katoka kula mzigo wa dada huyo jana, jumatanao; yaani siku nne tu. Kwa nini tofauti hivi? Mwanaume, mwanamke tutafute wastani sasa. Ilikuchukua muda gani tangu kufahamiana na mtu wako hadi kufanya nae tendo (mapenzi/sex) la kwanza? Maana wengine wanasema siku hizi mjini tunamalizana leo leo tu.
Inategemeana na ntu na ntu. Sio ntu wote toka Ntwara wanawinda kwa kutumia nchale.
 
Back
Top Bottom