Ilikuaje Trump na Elon Musk matapeli wakubwa zaidi kuwahi kutokea katika siasa za Marekani kuaminiwa na raia wengi?!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,240
Reaction score
90,297
Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini!

Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo hajatekeleza hata moja na zaidi sana ameenda kinyume chake na hakuna maelezo yoyote anayowapa Wamarekani zaidi ya kuwafokea na kuwafanyia gaslighting. Sasa ameiingiza hadi sehemu kubwa ya duni katika vita vya kipumbavu.

Elon Musk aliyejitamba kununua Twitter kuifanya huru sasa ni uchafu mtupu na habari zote ambazo hazipendi kama vita ya Iran anabinya taarifa zake. Alikuwa anajidai mwanaharakati wa kupinga ufisadi Marekani kupitia DOGE yake ila sasa hivi ameuchuna kama kobe ufisadi wa Trump na viongozi wa serikali yake mfank huyu mwanamama waziri wa mambo ya ndani na usalama, Kristi Noem aliyepiga zaidi dola milioni 200 kwa tenda za matangazo uchwara ya TV na pia kutumia ofisi ya umma vibaya na hawara wake.

Kuna namna fulani akili za wazungu wa Marekani haziwatoshi kuwaamini watu wa hovyo kama Hawa.
 
Trump ndiye Rais anayependwa Marekani.

Hujui MAGA ni nini, Wamarekani ndio wanajuwa MAGA ni nini.

Trump anafukuza matapeli wote Marekani warudi kwenye nchi zao na anacreat ajira nyingi kwa Wamarekani.

Bei ya mafuta imeshuka per galon, maziwa bure kwa shule zote, hata nikiendelea kuandika hutoweza kuelewa mshabiki wa Magaidi.
 
Bepari gani anaweza kukupa maziwa ya bure?
 
wow, kumkandia na kumshusha mtu kama E.Musk kwa kiasi hicho kama ulivyofanya hasa ukichukulia mchango wake mkubwa sana kwenye uchumi wa USA na hata dunia kwa ujumla, unahitaji maconfidence ya hali ya juu, tena umekwenda mbali na kuwaona watu wa USA ambao walimchagua D.Trump kwa kura nyingi sana siajabu klk wakati wowote ule in modern history kuwa ni wajinga, lkn labda ulichosahahu ni kwamba watu wa USA wana experience kubwa sana na demokrasia siajabu klk nchi yoyote ile duniani, hivyo kuwaona wajinga hasa ukichukilia wewe unatokea afrika (i assume) ambapo hata elections zenyewe hakuna, it takes a lot kwa mtu wa aina hiyo kujiamini hivyo, unakuwa kama msomali ilhan omar.

USA wana demokrasia iliyo hai, mwaka huu kuna midterms elections hivyo kama D.Trump aliwadanganya kama unavyodai na hajawatimizia waliomchagua aliyowaahidi bado wana nafasi ya kumuadhibu hapo novemba kwenye midterms kwa kuchagua upinzani, na hiyo ndiyo demokrasia, USA siyo kama tanzagiza au islamic republic of irani ambapo jela zimejaa wafungwa wa kisiasa, Tundu Lisu mpaka leo hii yuko jela kosa lake hakuna anayejua exactly, uchaguzi Mpina kaondolewa na ccm kubakia mwenyewe halafu akasema kashinda kwa karibia 100% kwamba anakubalika sana, hiyo ndiyo hali halisi ya tanzagiza na afrika kwa ujumla (islamic afrika atleast), hivyo ktk mazingira kama hayo kuwakebehi wamarekani kiasi hicho, it takes a lot of courage ...
 
wow, kumkandia na kumshusha mtu kama E.Musk kwa kiasi hicho kama ulivyofanya hasa ukichukulia mchango wake mkubwa sana kwenye uchumi wa USA na hata dunia kwa ujumla, unahitaji maconfidence ya hali ya juu, tena umekwenda mbali na kuwaona watu wa USA ambao walimchagua D.Trump kwa kura nyingi sana siajabu klk wakati wowote ule in modern history kuwa ni wajinga, lkn labda ulichosahahu ni kwamba watu wa USA wana experience kubwa sana na demokrasia siajabu klk nchi yoyote ile duniani, hivyo kuwaona wajinga hasa ukichukilia wewe unatokea afrika (i assume) ambapo hata elections zenyewe hakuna, it takes a lot kwa mtu wa aina hiyo kujiamini hivyo, unakuwa msomali ilhan omar.

USA wana demokrasia iliyo hai, mwaka huu kuna midterms elections hivyo kama D.Trump aliwadanganya kama unavyodai na hajawatimizia waliomchagua aliyowaahidi bado wana nafasi ya kumuadhibu hapo novemba kwenye midterms kwa kuchagua upinzani, na hiyo ndiyo demokrasia, USA siyo kama tanzagiza au islamic republic of irani mbapo jela zimezaa wafungwa wa kisiasa, Tundu Lisu mpaka leo hii yuko jela kosa lanke hakuna anayejua, uchaguzi Mpina kaondolewa na ccm kubakia wenyewe halafu akasema kashinda kwa karibi 100% kwamba anakubalika sana, hiyo ndiyo hali halisi ya tanzagiza na afrika kwa ujumla (islamic afrika atleast), hivyo ktk mazingira kama hayao kuwakebehi wamarekani, it takes a lot of courage ...
Ukishakuwa na religious fanatical wengi kama wewe na kama ilivyo US na fanatical evangelicals christian wengi demokrasia haiwezi kufanya kazi tena katika mazingira ya ujinga wa aina hiyo kwa sababu ili demokrasia ifanye kazi inahitaji watu wengi walio rational, wenye elimu nzuri na taarifa sahihi,
Hata Tanzagiza itakuwa vigumu sana kupata demokrasia kwa sababu ya wingi wa wafahidhina wa dini zote mbili.
Wahafidhina wa kidini mara nyingi na wengi wao huwa hawana akili, wanafanya mambo kwa hisia na mihemko tu.
 
usichanganye mambo, USA kuna demokrasia kwa sababu ya Christanity vs islam haina demokrasia na wala haitambui demokrasia (angalia kwa mfano islamic republic of irani), wakati demokrasia mizizi yake iko kwenye Christianity ...
 
Ushangai ya Tanzania, watu wamekufa ( wameuliwa kinyama ) tena wazi wazi lakini hadi leo hii hakuna aliechukuliwa hatua ?
Unaenda shangaa ya mabeberu 😎
 
Ninaweza kushangaa yote kwa pamoja.
 
Ukishakuwa na religious fanatical wengi kama wewe na kama ilivyo US na fanatical evangelicals christian wengi demokrasia haiwezi kufanya kazi tena katika mazingira ya ujinga wa aina hiyo kwa sababu ili demokrasia ifanye kazi inahitaji watu wengi walio rational, wenye elimu nzuri na taarifa sahihi,
Hata Tanzagiza itakuwa vigumu sana kupata demokrasia kwa sababu ya wingi wa wafahidhina wa dini zote mbili.
Wahafidhina wa kidini mara nyingi na wengi wao huwa hawana akili, wanafanya mambo kwa hisia na mihemko tu.
Huyu jamaa Kijakazi akiwa na mamlaka ya juu anaweza kupanga njama ya kuangamiza Waislamu wote Tz .

Sijaona mtu ambaye fanatical na Extrimist jukwaani kushinda huyu jamaa , ananikumbusha Klu Klux klan jinsi misimamo yake mikali ya kidini ilivyo.
 
Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini!

Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo hajatekeleza hata moja na zaidi sana ameenda kinyume chake na hakuna maelezo yoyote anayowapa Wamarekani zaidi ya kuwafokea na kuwafanyia ga.slighting. Sasa ameiingiza hadi sehemu kubwa ya duni katika vita vya kipumbavu.

Elon Musk aliyejitamba kununua Twitter kuifanya huru sasa ni uchafu mtupu na habari zote ambazo hazipendi kama vita ya Iran anabinya taarifa zake. Alikuwa anajidai mwanaharakati wa kupinga ufisadi Marekani kupitia DOGE yake ila sasa hivi ameuchuna kama kobe ufisadi wa Trump na viongozi wa serikali yake mfank huyu mwanamama waziri wa mambo ya ndani na usalama, Kristi Noem aliyepiga zaidi dola milioni 200 kwa tenda za matangazo uchwara ya TV na pia kutumia ofisi ya umma vibaya na hawara wake.

Kuna namna fulani akili za wazungu wa Marekani haziwatoshi kuwaamini watu wa hovyo kama Hawa.
Pamoja na yote jamaa unamchukia sana Trump na chama chake
 
Ukishakuwa na religious fanatical wengi kama wewe na kama ilivyo US na fanatical evangelicals christian wengi demokrasia haiwezi kufanya kazi tena katika mazingira ya ujinga wa aina hiyo kwa sababu ili demokrasia ifanye kazi inahitaji watu wengi walio rational, wenye elimu nzuri na taarifa sahihi,
Hata Tanzagiza itakuwa vigumu sana kupata demokrasia kwa sababu ya wingi wa wafahidhina wa dini zote mbili.
Wahafidhina wa kidini mara nyingi na wengi wao huwa hawana akili, wanafanya mambo kwa hisia na mihemko tu.
Upo sahihi.

Ni rahisi Tanzania kulalamika kuwa bar zinapiga kelele ila ukilalamika makanisa na misikiti inapiga kelele watu wa dini wanakuchukia na kusema unakufuru Mungu ujinga umejaa sana nchini.
 
Huyu jamaa Kijakazi akiwa na mamlaka ya juu anaweza kupanga njama ya kuangamiza Waislamu wote Tz .

Sijaona mtu ambaye fanatical na Extrimist jukwaani kushinda huyu jamaa , ananikumbusha Klu Klux klan jinsi misimamo yake mikali ya kidini ilivyo.
Huyu member ni mpuuzi kweli kweli ana udini uliovuka viwango
 
Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini!

Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo hajatekeleza hata moja na zaidi sana ameenda kinyume chake na hakuna maelezo yoyote anayowapa Wamarekani zaidi ya kuwafokea na kuwafanyia gaslighting. Sasa ameiingiza hadi sehemu kubwa ya duni katika vita vya kipumbavu.

Elon Musk aliyejitamba kununua Twitter kuifanya huru sasa ni uchafu mtupu na habari zote ambazo hazipendi kama vita ya Iran anabinya taarifa zake. Alikuwa anajidai mwanaharakati wa kupinga ufisadi Marekani kupitia DOGE yake ila sasa hivi ameuchuna kama kobe ufisadi wa Trump na viongozi wa serikali yake mfank huyu mwanamama waziri wa mambo ya ndani na usalama, Kristi Noem aliyepiga zaidi dola milioni 200 kwa tenda za matangazo uchwara ya TV na pia kutumia ofisi ya umma vibaya na hawara wake.

Kuna namna fulani akili za wazungu wa Marekani haziwatoshi kuwaamini watu wa hovyo kama Hawa.
Dunia imejaa wajinga so mfumo wa kile kinaitwa Demokrasia unawapa wajinga wengi kuamua mbele ya wenye uelewa.

Mwendo ule ule wa dini.
 
Trump ndiye Rais anayependwa Marekani.

Hujui MAGA ni nini, Wamarekani ndio wanajuwa MAGA ni nini.

Trump anafukuza matapeli wote Marekani warudi kwenye nchi zao na anacreat ajira nyingi kwa Wamarekani.

Bei ya mafuta imeshuka per galon, maziwa bure kwa shule zote, hata nikiendelea kuandika hutoweza kuelewa mshabiki wa Magaidi.
Kupendwa ni maficho ya wajinga
 
Hawa watu wawili sijui waliwezaje kuwadanganya na kuwalagahi mamilioni ya Wamarekani kuweza kuwaamini!

Ahadi zote kubwa kubwa Trump alizowaahidi Wamarekani hadi wakamchagua kwa kishindo hajatekeleza hata moja na zaidi sana ameenda kinyume chake na hakuna maelezo yoyote anayowapa Wamarekani zaidi ya kuwafokea na kuwafanyia gaslighting. Sasa ameiingiza hadi sehemu kubwa ya duni katika vita vya kipumbavu.

Elon Musk aliyejitamba kununua Twitter kuifanya huru sasa ni uchafu mtupu na habari zote ambazo hazipendi kama vita ya Iran anabinya taarifa zake. Alikuwa anajidai mwanaharakati wa kupinga ufisadi Marekani kupitia DOGE yake ila sasa hivi ameuchuna kama kobe ufisadi wa Trump na viongozi wa serikali yake mfank huyu mwanamama waziri wa mambo ya ndani na usalama, Kristi Noem aliyepiga zaidi dola milioni 200 kwa tenda za matangazo uchwara ya TV na pia kutumia ofisi ya umma vibaya na hawara wake.

Kuna namna fulani akili za wazungu wa Marekani haziwatoshi kuwaamini watu wa hovyo kama Hawa.
Sehemu kubwa ya MAGA ni wazungu wanaoamini katika ukuu wa mtu mweupe (white supremacists) ambao walifedheheshwa na kuugua sana kuona mtu mweusi (Barack “Hussein” Obama) akiwa Rais (44 POTUS). Tena akidhihirisha uwezo mkubwa kipindi chake kuliko wazungu wengi kabla yake hata leo.

Trump aliwaaminisha kuwa ni mzaliwa wa Kenya na Muislamu.

Kundi la pili ni Wapentekoste (evangelicals) ambao kwao Kristo ni kila kitu. Trump asiyesoma Biblia wala kuzingatia aya yoyote kawaaminisha ataifanya USA kuwa taifa la kikristo. Kwamba biblia itakuwa msingi wa elimu na maamuzi ya serikali yake.

Kundi la tatu ni mabilionea na wasaka fursa wote walio tayari kuwa upande wake. Kawahakikishia mapunguzo na misamaha mikubwa ya kodi, kawapunguzia usimamizi wa kiserikali (govt regulations), kaahidi fursa kadhaa za tenda na kazi serikalini na katika makampuni rafiki, n.k.

Kaikamata Mahakama Kuu (Supreme Court of Justice). Imempa uwezo wa kutoshtakiwa kwa makosa ya kiutendaji (immunity).

Kwa kifupi, Trump ameigeuza Serikali ya US kama genge la kimafia. Yote ni kwa sababu ya watu wasio na akili, walio tayari kutoa mhangamaslahi yao halisi na ya taifa kuliko kuongozwa na mtu ambaye si mzungu mwenzao kisha haweki ukristo mbele.

Kwa upande mwingine chama cha Democrats kilizingua sana hasa wakati wa Biden kwa kushindwa kudhibiti mafuriko ya wahamiaji haramu kupitia mpaka wa Mexico.

Pia waliendekeza sana haki za LGBTQ hasa za Transgender women waliokuwa waking’ang’ania kutambuliwa kama wanawake na kuruhusiwa kushiriki mashindano ya timu za wanawake na kutumia sehemu za umma za hifadhi za wanawake.

Trump alijinadi sana kushughulikia matatizo hayo.

Bahati mbaya wagombea wengine wa Republicans hawakujitokeza vizuri hasa kwenye ajenda ya “white supremacy” na ya Ukristo labda kwa kuona aibu. Trump akawazidi kete.
 
Kwani ilikuwaje kuwaje hadi Rostam aziZ ki akaaminiwa hadi kwenye corridor za magogoni ikulu cc2006?😨
 
Back
Top Bottom