Ili uolewe mapema mdada tumia mbinu hii matata....

Ili uolewe mapema mdada tumia mbinu hii matata....

Ndoa haina mbinu bwana kama umepangiwa kuolewa ww utaolewa tu na kama umepangiwa wa kucheza kwaito za watu utacheza mpaka mwisho

Uishi maisha fake sababu ya ndoa woiii mwisho wa siku unakuja kuonyesha makucha yako

Wamekusikia mkuu wakutaka kuishi maisha hayo
 
Kuolewa nikupo tu.
Kama wewe ni kahaba katembee ipo siku huko huko watakupata tu wakutulize ni bora mume ajue hili ni lishangingii akikuoa nikwa ridhaa yake.Kila mbuyu una shetani wake.
 
Mtafute ndugu yako anaekaa mbali sana na wewe, mfano ni shangazi yako au dada yako.... hamia kwake kimakazi kwa muda, ukifika kwake nenda na tabia zingine mpya, kuwa mkarimu sana, kuwa mpole sana, ipende dini yako na ifuate, wapende wamama watu wazima na wababa, wapende mabibi na mababu, wakarimu sana pia wape misaada midogo midogo,
mfano ukimkuta mama naniu bombani msaidie kubeba ndoo yake ya maji, ukikutana na mzee na niniu njiani msaidie kamzigo kake mpaka kwake.

Niamini mimi kuwa hawa watu kila mmoja atatamani uwe mkwe wake,
pia vijana wa kiume kila atakae kutongoza mkatalie,
watatumana kwa fujo kila mmoja kutaka kukufunua ili akatambe kijiweni kuwa yule binti mwenye msimamo mie nimemuweka[emoji39]

lakini jaribu kukaza usimkubalie ata mmoja,
ikitokea hamu imekushika sana unafunga safar unaenda kule kwenu ulipozaliwa ambako kila mtu anakujua kwa umalaya wako, nenda mtafute bwanaako mpe utamu ajilie vyake mpaka kiu ikuishe, kesho yake unarud tena kwa shangazi, ukifika kule ni mwendo wa kukaza na kukomaa, usimpe mtu.

kuanzia hapo sasa utaanza kupata sifa kama za bikira Maria, kila mtu atakuwa anakusifia wewe, kila mwanaume atatamani akuoe wewe.

zitaanza kugongana posa kwa shangazi yako, akitoka uyu anaingia uyu, utachagua kwa nafas yako. ukitaka mrefu au mfupi hapo ni wewe tu.

tumia iyo mbinu ikishindikana nipigie namba hii 0653663344
View attachment 858451
Wewe umeolewa ?
 
Likely atakutana na mwanaume mwenye reputation mbovu kwao aliyeenda kumtembelea shangazi yake pia ili ang'oe mtoto mkali.
 
Hii safi hata Ukahaba na umalaya una ngazi zake unaanzia ngazi ya kaya na familia kisha unakuja mtaa/kijiji kisha kata/tarafa mpaka ngazi ya kitaifa kama umalaya huo ukishindwa kujipambanua kwenye hizo stage basi atafanikiwa kuolewa ila sasa ukiweza Mungu amsaidie!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom