Mkuu mimi nakuelewa sana sana sana sana...hii mbinu ni kali na yenyewe...100% ukweli.imewapatia wake wengi ninaowafahamu...Mtafute ndugu yako anaekaa mbali sana na wewe, mfano ni shangazi yako au dada yako.... hamia kwake kimakazi kwa muda, ukifika kwake nenda na tabia zingine mpya, kuwa mkarimu sana, kuwa mpole sana, ipende dini yako na ifuate, wapende wamama watu wazima na wababa, wapende mabibi na mababu, wakarimu sana pia wape misaada midogo midogo,
mfano ukimkuta mama naniu bombani msaidie kubeba ndoo yake ya maji, ukikutana na mzee na niniu njiani msaidie kamzigo kake mpaka kwake.
Niamini mimi kuwa hawa watu kila mmoja atatamani uwe mkwe wake,
pia vijana wa kiume kila atakae kutongoza mkatalie,
watatumana kwa fujo kila mmoja kutaka kukufunua ili akatambe kijiweni kuwa yule binti mwenye msimamo mie nimemuweka
lakini jaribu kukaza usimkubalie ata mmoja,
ikitokea hamu imekushika sana unafunga safar unaenda kule kwenu ulipozaliwa ambako kila mtu anakujua kwa umalaya wako, nenda mtafute bwanaako mpe utamu ajilie vyake mpaka kiu ikuishe, kesho yake unarud tena kwa shangazi, ukifika kule ni mwendo wa kukaza na kukomaa, usimpe mtu,
kuanzia hapo sasa utaanza kupata sifa kama za bikira Maria, kila mtu atakuwa anakusifia wewe, kila mwanaume atatamani akuoe wewe,
zitaanza kugongana posa kwa shangazi yako, akitoka uyu anaingia uyu, utachagua kwa nafas yako. ukitaka mrefu au mfupi hapo ni wewe tu.
tumia iyo mbinu ikishindikana nipigie namba hii 0653663344
View attachment 858451
Mkuu mimi nakuelewa sana sana sana sana...hii mbinu ni kali na yenyewe...100% ukweli.imewapatia wake wengi ninaowafahamu...
Tatizo wanawake kila mtu ana akili zake,wanategemea sana sana ya kuambiwa na Mashoga ndo waamini.
Yupo mazoezina kujarbu mbinu km itamfanikisha kuvukaNdo mana uku kwetu kuna bint mgeni ni kauzu uyo ata ukimsalimia hataki kuitikia
Hujamalizia ushauri,Mtafute ndugu yako anaekaa mbali sana na wewe, mfano ni shangazi yako au dada yako.... hamia kwake kimakazi kwa muda, ukifika kwake nenda na tabia zingine mpya, kuwa mkarimu sana, kuwa mpole sana, ipende dini yako na ifuate, wapende wamama watu wazima na wababa, wapende mabibi na mababu, wakarimu sana pia wape misaada midogo midogo,
mfano ukimkuta mama naniu bombani msaidie kubeba ndoo yake ya maji, ukikutana na mzee na niniu njiani msaidie kamzigo kake mpaka kwake.
Niamini mimi kuwa hawa watu kila mmoja atatamani uwe mkwe wake,
pia vijana wa kiume kila atakae kutongoza mkatalie,
watatumana kwa fujo kila mmoja kutaka kukufunua ili akatambe kijiweni kuwa yule binti mwenye msimamo mie nimemuweka
lakini jaribu kukaza usimkubalie ata mmoja,
ikitokea hamu imekushika sana unafunga safar unaenda kule kwenu ulipozaliwa ambako kila mtu anakujua kwa umalaya wako, nenda mtafute bwanaako mpe utamu ajilie vyake mpaka kiu ikuishe, kesho yake unarud tena kwa shangazi, ukifika kule ni mwendo wa kukaza na kukomaa, usimpe mtu,
kuanzia hapo sasa utaanza kupata sifa kama za bikira Maria, kila mtu atakuwa anakusifia wewe, kila mwanaume atatamani akuoe wewe,
zitaanza kugongana posa kwa shangazi yako, akitoka uyu anaingia uyu, utachagua kwa nafas yako. ukitaka mrefu au mfupi hapo ni wewe tu.
tumia iyo mbinu ikishindikana nipigie namba hii 0653663344
View attachment 858451

Hujamalizia ushauri,
Akishaolewa ndio aanze sasa kuonyesha tabia yake halisi au?
Manake hizo tabia mpya anazo act nazo ki msingi sio zake, anajibana tu kulazimisha.
Na kimsingi hutaweza atajikuta tu ametenda maana tabia ni mazoea.Hujamalizia ushauri,
Akishaolewa ndio aanze sasa kuonyesha tabia yake halisi au?
Manake hizo tabia mpya anazo act nazo ki msingi sio zake, anajibana tu kulazimisha.
Ufanye sasa hill zoezi njoo ukae kwangu kwa mudaWe mleta mada ni genius![]()
![]()
![]()