Ili uolewe mapema mdada tumia mbinu hii matata....

Ili uolewe mapema mdada tumia mbinu hii matata....

Dunia isivyokuwa fair, wale wadada watiifu na wapole wengi hawaolewi.
Ila makurumbembe ndio yako kwenye ndoa.
Ndoa ni usanii sanii fulani tu. Hakuna uhalisia.
Hushangai kuona mtu kila mwaka anaomba likizo arudi kwao Tena mwezi mzima
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Sesten umesahau eeee?

Kuna mtu alifura kisa umeandika hili neno la kukazia? ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
Bana wee, yaani hadi leo nikikumbuka nacheeka

Kuna neno jingine "Mkaza mjomba" yaani yupo rafiki yangu mmoja Muhaya hua halielewi hata kidogo

Anasema "mkaza nani!? Nyie watu wa Pwani mnamatusi ya hadharani sana nyie"

Basi hua nacheka sana Hajar
 
Haki ya mtungi,shahidi yake kata,
sihami,
nasema sihami jamii forum
Mkuu kahaba aliyechoka akiamua kutulia ndoa yake inakuwa mstari ulionyooka.
Wasiojielewa ndio wataendeleza ukahaba.
Kwani hujashuhudia demu kicheche mtaani anaolewa na jamaa kutoka hukooo!!
Nyie mnabaki kushangaa tu. Huyu kaoaje hapa?
Na ndoa yake inakuwa na mafanikio balaa
 
Bana wee, yaani hadi leo nikikumbuka nacheeka

Kuna neno jingine "Mkaza mjomba" yaani yupo rafiki yangu mmoja Muhaya hua halielewi hata kidogo

Anasema "mkaza nani!? Nyie watu wa Pwani mnamatusi ya hadharani sana nyie"

Basi hua nacheka sana Hajar

Hahahaaaa. Kiswahili hiki acha tu Sesten.
 
Hiyo tour na dada ni mwalim wa maghufuli sijui kibarua kitakuwaje
 
Unaweza ukahamisha mwili na tabia ila kwenye mitandao ya kijamii upo vile vile.simu zinasaidia sana kum scan tabia mtu fisi lijulikana tu hata kama litakuwa ndani ya banda la mbuzi
 
mkuu umeanza vizuri lakini kumaliza xx....

vikimzidi anarudi kule anamridhisha wa huku then anarudi ustaarabuni..

problem is how to switch off Your inner habit to smart and good mood while Your character doesnt......
 
Ndio maana tunatakiwa kuwachunguza wanawake kabla ya kuwaoa,Mie nitacheza na historia yake kuanzia alipozaliwa,alikosoma na mpaka alipokuwa anaishi,Tabia za kishangazi siwezi kuziamini kabisa
Tafuta marafiki zake watatu mchezo kwisha.
Tena hv videm vya sasa na instagram zao dk kumi utamjua ni mtu wa aina gan kuliko anavyojijua
 
Siku iz ni ndoa za mkataba kama bikra hamna mkataba ushavunjika anachukua time yake
Bikra sio dili zenji kuna mtaalam wa ku rebikralizing papuch elfu arobain tu.
Anaitwa saleh madawa huyo pumbavu anawauzia watu papuch refurbrished kama hana akili nzuri kabint kakitaka kuolewa kinateta na shangazi zake "aunt mi mzoefu watu wameshapenya na mbaya zaid sio huyu anaye taka kunioa"
Mashangazi wanaenda na bint kufanya yao mzee unakutana na kitu tight and badamu banaruka! Kumbe refurbished virginity!
 
Yani huu uzi umenikumbusha mengi zana yani mademu wengi tuliokua now full vicheche now mmoja kaolewa Arusha mwingine Moshi yanj nawasikitiaga waoaji kwan waolewa walitumia mbinu ya kuhama mkoa kabisa.

Mbaya zaidi miez kadhaa iliyopita kuna demu kaja kitaa inye lake hata bongo movie hamna yani full WOWOWO toto la kinyaturu kiuno Dondola sasa ikatokea anahitaji msaada kwangu but wa kibiashara baada ya kujua nadeal na nini tukaexchange namba Alhamdulillah siku moja nimepanda bajaji tukamuona dereva wa bajaji kasema huyu kahaba kahamia huku basi atawaua wengi kaungua na ndio chanzo cha kuhama Manzese kuja huku!
Duh yani ilikuwa bado siku tatu week end ifike na sijajua ingekuwaje mana alikuwa anakuja race mi nikajua kapenda baba mwenye gari kama ilivyo kwa watoto wa mjini kumbe ana roho mbaya hivyo muuaji mkubwa sijui nitume picha mumuone mumkwepe.
Ina maana mtu akiungua kugegeda na kugegeduliwa ndio basi?sasa kondom za nn?acha ufala kale mzigo huonkwa kondom au nirushie picha na contact zake nikale zigo ulilolisifia .maana inaonekana ni dizaini za mazigo ya yule mndengereko kipozeo hayo yamejaaliwa neema za mwenyezimungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom