Ili uolewe mapema mdada tumia mbinu hii matata....

Ili uolewe mapema mdada tumia mbinu hii matata....

Nami natoa ushauri kwa wanaume wanaotaka kuowa. Ukiona binti mtaani kwenu anatabi za kuwa mke na ni mgeni hana muda mrefu na hujui historia yake usije jikanyaga. Elewa huyo ni wale wanawake wanaofata ushauri wa mtoa mada hapa. Bora uchukue yule unae mjua mtaani mwako mkavumliane mbele kwa mbele. Kuliko uone ni chungwa kumbe ni limao
 
Ha ha ha haaaaa
 
Ndio maana tunatakiwa kuwachunguza wanawake kabla ya kuwaoa,Mie nitacheza na historia yake kuanzia alipozaliwa,alikosoma na mpaka alipokuwa anaishi,Tabia za kishangazi siwezi kuziamini kabisa
 
usubufu kama huo wakati watu washa ua tred nitakupiga chini tu. kama uliamua kutoa we toa tu.
 
Mtafute ndugu yako anaekaa mbali sana na wewe, mfano ni shangazi yako au dada yako.... hamia kwake kimakazi kwa muda, ukifika kwake nenda na tabia zingine mpya, kuwa mkarimu sana, kuwa mpole sana, ipende dini yako na ifuate, wapende wamama watu wazima na wababa, wapende mabibi na mababu, wakarimu sana pia wape misaada midogo midogo,
mfano ukimkuta mama naniu bombani msaidie kubeba ndoo yake ya maji, ukikutana na mzee na niniu njiani msaidie kamzigo kake mpaka kwake.

Niamini mimi kuwa hawa watu kila mmoja atatamani uwe mkwe wake,
pia vijana wa kiume kila atakae kutongoza mkatalie,
watatumana kwa fujo kila mmoja kutaka kukufunua ili akatambe kijiweni kuwa yule binti mwenye msimamo mie nimemuweka

lakini jaribu kukaza usimkubalie ata mmoja,
ikitokea hamu imekushika sana unafunga safar unaenda kule kwenu ulipozaliwa ambako kila mtu anakujua kwa umalaya wako, nenda mtafute bwanaako mpe utamu ajilie vyake mpaka kiu ikuishe, kesho yake unarud tena kwa shangazi, ukifika kule ni mwendo wa kukaza na kukomaa, usimpe mtu.

kuanzia hapo sasa utaanza kupata sifa kama za bikira Maria, kila mtu atakuwa anakusifia wewe, kila mwanaume atatamani akuoe wewe.

zitaanza kugongana posa kwa shangazi yako, akitoka uyu anaingia uyu, utachagua kwa nafas yako. ukitaka mrefu au mfupi hapo ni wewe tu.

tumia iyo mbinu ikishindikana nipigie namba hii 0653663344
View attachment 858451
Na wakati tunakuja kuchumbia tunaambizana TUKUTE BIKRA Kama haipo baki na ukarimu wako.
 
Behavior change? There is no such a thing... Ni ngumu sana kuficha tabia. Uzuri ni kwamba, people can not pretend for very long...
 
ikitokea hamu imekushika sana unafunga safar unaenda kule kwenu ulipozaliwa ambako kila mtu anakujua kwa umalaya wako, nenda mtafute bwanaako mpe utamu ajilie vyake mpaka kiu ikuishe, kesho yake unarud tena kwa shangazi, ukifika kule ni mwendo wa kukaza na kukomaa, usimpe mtu.
nimecheka sana daah! jf raha sana
 
Hiyo Kali aiseee umenikumbusha Nina ndugu yangu alikuja kwangu ili apate mume, shida moja akawa maharage ya mbea.

Akaja akavamia mume was MTU akamkoleza had I akataka kuoa, kumbe jamaa ana mke na watoto mke was jamaa kusikia akasasema we vivi ntamgeuza kichaa ndugu yko, tangu siku hiyo sina hamu na wazigua
 
Sasa mleta mada jiweke katika nafasi ya muoaji. Kwamba baada ya binti ku fake kwa muda wewe uka fall ukatangaza ndoa na kumweka ndani.

Kumbe ana makandokando yake ambayo ungeyajua hata salamu usingempa.

Watu wanaweza kukuona umetumia akili lakini hapo hujawaza na side B mzee baba. Hujawaza na atakaye oa itakuwaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom