Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,231
wewe unayo mkuu??Hapana itafanya kwa wale wanaooa bila kuweka kikwazo kwa mimi ita feli kwa kuwa nataka nikute bikra zote mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe unayo mkuu??Hapana itafanya kwa wale wanaooa bila kuweka kikwazo kwa mimi ita feli kwa kuwa nataka nikute bikra zote mbili
zinatengenezwa siku hiziBila bikra atakuwa anacheza sambasoti tuu kwangu.
Taken mkuuUfanye sasa hill zoezi njoo ukae kwangu kwa muda
Kweli kabisa wengi wao huwa wanatulia kabisa natabia kama ngozi haina nafasi hapo kabisa, wengi hutulia kabisa namifano ipo japo sio wote wanaotuliakwa wajanja wanaojua nini wanataka ..akishaolewa anatulia! nimeona wa hivyo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuwakosa WAREMBO PM,, Naona MLETA UZI umebuni MBINU mpya za kuwanasa warembo humu ....wakupigie kwa namba hiyo si ndy? 0653663344.....MBINU nzr...
.. nakazia..Kweli kabisa wengi wao huwa wanatulia kabisa natabia kama ngozi haina nafasi hapo kabisa, wengi hutulia kabisa namifano ipo japo sio wote wanaotulia
aah ... wapi...Natural inajulikana labda kwa mwanaume asiyewajua wanawake
Itakuwa ushaolewa alafu unaweza kubadilika unajua wengi wanarukaruka kwa kukosa wa kumwamini anaona bora tu achakachuliweDuuh! Ila mwisho wa siku tabia ni kama ngozi Mkuu itaonekana tu siku moja.
We dada kila siku nakuvumilia naomba leo nikuulize tafadhaliWe mleta mada ni genius![]()
![]()
![]()