Ili kuitwa mwanaume, si lazima upigane vita na Marekani na Israel

Ili kuitwa mwanaume, si lazima upigane vita na Marekani na Israel

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,254
Reaction score
4,466
Juzi kati hapo sisi Tanzania, tuliwaita wazungu Who are you! Siyo kwamba tunaweza kabisa kabisa kuwadunda, la sivyo, ila wajue tu kwamba, na sisi ni wanaume, na wakija juu watake kutupiga, tunazo meza kibao za mazungumzo ili tu tubaki kwenye uanaume wetu!

Inatosha kuwa mwanaume hata usipopigana na hizo nchi

Usipigane vita kutafuta kuitwa kidude kumbe hata udume ulio nao unatosha kukupatia heshima


Mara zote heshima ya mwanaume hupotea mara baada ya kulazimisha mambo ambayo bado huyamudu, huna uwezo nao

Tunachoshuhudia sasa, ni Iran kutafuta kuitwa kidume mbele ya mianaume iliyoshindikana

Kiburi bhana, kinashusha hadhi ya mtu

Wapenzi wa Iran mna nini la kuelezea udume wa Iran mbele ya mianaume ya hii Dunia?

Acheni kufananisha USA na upumbavu, Leo hii Iran inapoteza viongozi wake wote kisa kutaka cha juu na kisicho na faida yoyote hata asingekitaka

Mtu anapoizungumzia USA na washirika wake, anajaribu kuzungumzia ulimwengu huu wote

Acheni kuzipa vichwa nchi kama Iran kuwa zinauwezo kuzidi Japan

Ni ujinga
 
Back
Top Bottom