Kweli mkuu! kwan unafanya biashara gani unipe ata wazo, coz nyie wakina sanga mpo vizuri sanaa kwenye Biashara.unaweza usiwe na connection yoyote na ukatoboa kinachoitajika kama uko town kama dsm ni akili yako tu ni rahisi sana kua mjanja ndani ya miezi tu unaweza ukawa unajua kila kitu na ukawa babilon watu wakajua una pesa kumbe timing tu ..akili ndio ya kuichezesha
Nauza computer, tv na redio bossKweli mkuu! kwan unafanya biashara gani unipe ata wazo, coz nyie wakina sanga mpo vizuri sanaa kwenye Biashara.
Umesahau majungu na kujipendekezaBila connection ndugu zangu kutoboa itagarimu kidogo!
Niko kwenye kazi yangu kwa muda was miaka 15 mpaka Sasa Kuna wadau kibao wametoka ila kilichowezesha Ni connection tu, sisi wengine pamoja na usmat, upole, huruma, bidii bado tumeambulia daraja la chini mno.
Naombeni connection wakuu mambo ya Carpenter.
Nahitaj core i5 mkuu naweza pata kw shngp?nauza computer,tv na redio boss
Ram gb ngap na disk gb ng na je ya kulala au kusimama ??? nichek pm apa tupo kwenye kujadili binamnahitaj core i5 mkuu naweza pata kw shngp?
Fanya kazi kwa bidiix1000000000000,lima kiangaz na masika,fuga kiangazi na masika,Tengeneza bidhaa bora na kwa wingi kadri watu wanavyohitaji ili wewe ndio utafutwe..Tengeneza mfumo wako kamwe usiingie kwenye mfumo ambao wametengeneza wengine maana utaanza kuona connection ni kitu cha maana..na kumbe hakuna connection bila bidii.Wadau naomba kuuliza kuhusu hii kanuni,
Je, ni kufanya kazi kwa bidii au connection ndivyo vinavyomsaidia mtu kupanda ngazi, kuna mmoja kaniambia hapa kama hard work pays basi punda wote watakuwa matajiri.
Na pia akaniambia unawaona paka hawafanyi kazi lakini wanaishi kama wafalme, akaongeza tena kwenye maisha asikudanganye mtu, its not about hard work mkuu, its about connection, je mna mifano ya watu waliofanikiwa kwa hard work bila connection?
Naiomba tafadhali.