Wadau naomba kuuliza kuhusu hii kanuni,
Je, ni kufanya kazi kwa bidii au connection ndivyo vinavyomsaidia mtu kupanda ngazi, kuna mmoja kaniambia hapa kama hard work pays basi punda wote watakuwa matajiri.
Na pia akaniambia unawaona paka hawafanyi kazi lakini wanaishi kama wafalme, akaongeza tena kwenye maisha asikudanganye mtu, its not about hard work mkuu, its about connection, je mna mifano ya watu waliofanikiwa kwa hard work bila connection?
Naiomba tafadhali.