Ili kufanikiwa, unahitaji nini kati ya kufanya kazi kwa bidii ua kujuana na watu?

Vyote vina nafasi yake ila mostly connections zinaharakisha ktk mazingira yetu.

Tena kwny ajira ndo basi kabsa.unategemea bidii kuitafuta kazi wkt mwenzako anaambiwa njoo uanze kazi, kuna league hapo.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom