Ile story yetu, yamenikuta

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
Habari za Asubuhi wanaJAMII!
Siku yangu ya jana imeisha vibaya!

Kuna ile story yetu tulioianza tangu J'tatu, ambayo mpk jana imefika sehemu ya saba! kuna Mkuu kanicheck jana na vitisho kibao, katoa maneno ya kashfa ya kutosha, jamaa kani-dis, katukana sana, ukweli amenifedheesha sana!

Hajaweka wazi shutuma zake, nini shida, lkn kwa muelekeo wa kashfa zile, nahisi nimemboa kwa ile style ya vipande vipande vya ile story yetu, japokuwa kuna mstari mmoja katudis mimi na ID moja ya kike, sasa sijaweza kubaini amenihusishaje na ile ID ya bidada (hz ID za JF huwa siziamini jinsia zake za wamiliki), na sijui yy na yule mmiliki wa ID ya kike wapoje!

Binafsi, humu JF sina mtu wwt yule ambae nina phisical intact nae, sina mtu ambae tunajuana nje ya JF na ndani ya JF, hata hapa ofisini kwangu watu hawajui kitu chochote khs JF! Nimepanga kumjibu baadae nikiwa na mood nzuri! leo mida ya mchana nitarudi na kipande cha mwisho!

cc The Boss, watu8, muuza ubuyu, lad3, @miss neddy, Blessed, Heart, LIKUD, Kijana leo, Vaislay, lin, ikhwaan, mwekundu, g click, 1000GB, terasy, Munkari, Pretty, kakakuonana, The hammer, tutsi gal, @Justin demee, princetx, prospa, Mokoyo, Masonda., ram, Honey Faith, ZAMBI YANGU, KANDIRI, CEOgwamzy, Man Ngosha, miss ngatara, @Drama queen, dawa yenu, mtengwa, kan'tangaze, mizambwa, msabillah, Foundation, 64gb, City hunter j, @Moranga, Tarime one, mtvbase, tamuuuuu, wisu!
 
Mshe nz sana hyyo.muweke kati tumchambe hapa..
 
ujinga huu, sasa hii thread ni ya nini au unataka tujadili nini hasa?
 
pole sana ana bahati hajakukuta na akili zako za usiku
 
Oooohhh linani hilo???kwani lazima a some?ka hataki kusoma vipande si ajibebe !!!!mwaya mpotezee njoo utupe burudani!!!!
 
Hiyo ID ya kike nimeihisi mkuu. Kumbe kuna watu humu ndani wana uhusiano mpaka nje, mimi nilijua ni masikhara. Mpotezee tu. Tunakusubiri mkuu, tunajua una mujukumu ya kazi ila stori nimeipenda
 
slim5,Kama ipo poa iweke hiyo ID hadharani tumjue...USTAARABU KWA BINADAMU ni kazi sana
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ID ya kike nimeihisi mkuu. Kumbe kuna watu humu ndani wana uhusiano mpaka nje, mimi nilijua ni masikhara. Mpotezee tu. Tunakusubiri mkuu, tunajua una mujukumu ya kazi ila stori nimeipenda

Mkuu hata mimi nilikuwa na imani kama yako, nadhani sasa nimejifunza kitu hapa, kuna haja ya kuepuka aina fulani ya masikhara humu!
 
Oooohhh linani hilo???kwani lazima a some?ka hataki kusoma vipande si ajibebe !!!!mwaya mpotezee njoo utupe burudani!!!!
Munkari, watu8, leo mchana mchana ntaushusha mzigo woote, tuvute subira kidogo!
 
Last edited by a moderator:
pole sana ana bahati hajakukuta na akili zako za usiku
MankaM, nitamcheck pm, kuna vitu nataka aniweke sawa, tusipoafikiana nammaliza huku in public!
 
Last edited by a moderator:
pole slim weka wazi ni nani huyo afu ile promise yetu umeikata kiaina eeeeeh
 
Stori yenyewe ni ipi haswa:what::what:
Niwekeeni link niisome🙄
 
Munkari, watu8, leo mchana mchana ntaushusha mzigo woote, tuvute subira kidogo!

Mkuu nipo online muda wote siku ya leo kwa kuwa ni 'free-day'

Btw mpotezee tu huyo raia aliyekuzingua we endelea tu kushusha mzigo...
 
Polee mkuu ila inaboa sana.... kuna watu umu jf wapo kwaajil ya kuarb sk za wenzao
 
MankaM, nitamcheck pm, kuna vitu nataka aniweke sawa, tusipoafikiana nammaliza huku in public!

Mkuu ukifanya hivi tu utapewa BAN na Invizibo...

Ni kinyume na sheria za JF kuweka wazi mawasiliano ya PM...

The best way you can do ni kutoa abuse report huko huko PM...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…