Ile ndoa imesambaratika!

Don't stress yourself out that mad woman.
 
Hatujifanyi. Sisi nao ni watu kama wanaume. No more no less. Kuna wanaume malaya wengi tu maana umalaya ni tabia
Kwaa hiyo sasa hivi na nyie mnawaiga wanaume kufanya umalaya?
 
Ulishaambiwa mwanamke ni kiumbe kinachoongozwa zaidi na hisia kuliko logic. Anaweza akawa analifahamu hili unalosema hapa lakini akaamua kulipuzia tu sababu hisia zake zinamwambia aende tu huko kwa huyo hawala yake hata kama asipomuoa sawa tu.

Mwanamke unaweza ukamuuliza 1+1 akakwambia jibu ni 3 na anafahamu kabisa jibu sahihi ni 2, lakini kutokana na hisia zake zinavyomtuma kwa wakati huo atakwambia "Kwanini tusifanye tu jibu liwe 3 jamani"

Ndivyo walivyo na wanaongoza kujutia maaumuzi yao, maana siku zote hisia huwa zinadanganya na zinapoteza.
 
Yaani hapo ndiyo umeona umejibu sasa!?

Yaani wewe kumbe zero brain tu...huwa hujui hata kujadiliana unajibu jibu tu ili mradi umejibu au umeandika!!

Kwani ni nani aliyesema kama hamtaki kuishi na mchepukaji msiolewe?! Si ni wewe,ndiyo nimekuuliza sasa kwani nani anataka kuishi na mchepukaji? kwani ni nani alichepuka hapo na akili zako fupi? Kama huyu mwanaume hataki kuishi na mchepukaji na sisi vilevile hatutaki kuishi na wachepukaji...

Siku nyingine uwe unasoma na kuelewe ndiyo ujibu,usipende kubishana bishana na kila mtu unajishusha hadhi humu,unatukana kabisa kumbe wewe mwenyewe ndiyo SHUBAMTI
 
Mimi Ninaweza kuwa na zero brain lakini wewe una tacky brain hujui hata upana wa mantiki wa kitu ulichokiandika... SHUBAMIT

Kwenye comment yako umeandika nanukuu "Wanaume badilikeni mnaumiza sana wake zenu na kupelekea waishi kwenye maisha wasiyoyataka"

Sasa hapo kwa tafsiri ya haraka haraka tu si unaamisha kwamba wanaume ndio chanzo cha wanawake kuishi maisha ya ovyoo, yaani kana kwamba sio rahisi kwa mwanamke kuishi maisha ya ovyoo hasa ya kikahaba pasipo kusababishwa na mwanaume.

Yaani kwa mujibu wa logic yako unaona hata huyu mwanamke anayeongelewa hapa kwenye mada chanzo cha yeye kuvunja ndoa yake na kwenda kwa huyo hawala yake chanzo ni mume wake.. upumbavuu mtupu.

Kama ungekuwa una akili ya kung'amua sawia kile unachokisoma ungekuwa umenielewa comment yangu ilitokana na hicho kipande cha comment yako.

Tatizo unajibu jibu tu kisa unamtetea mwanamke mwenzio tacky brained dolt.
 
Reactions: T11
Wanaume wenzako wenye akili wameshanielewa hapo....
Hivi unaona kuishi maisha ya ovyo ni ukahaba tu?
Tatizo unapenda kila unachosema kionekane sahihi usilazimishe mambo kaka!
Wewe siyo muelewa,kubishana na wewe siwezi,maana hata kitu kidogo tu unataka kuzungushana na mtu....
 
Acha kucheza kiliwanzenza hapa stick kwenye maudhui ya mada. Wewe na huyo mwenzako Linguistics tangu awali michango yenu imekaa kutupia lawama tu kwa wanaume huku mKim-vindicate huyo mwanamke mwenzenu. Sasa kwanini tusiwapinge wakati hamuoni tatizo lolote kwa huyo kahaba na mmekaa tu kushambulia wanaume?

Hii mada inaongelea ukahaba sio kitu kingine na ndio maana arguments zangu zimekuwa centred around ukahaba sasa wewe unataka tujadili maisha gani mengine ya ovyo hapa?

Kama kuna mtu amekuelewa kwa hizo lame arguments basi naye kuna uwezekano mkubwa akawa ana tacky brain.
 
K
Kuachana....
Then baada ya kuachana unafanya kihalali
Sasa wewe ndiyo usioe maana sisi hatuwezi kuwaoa,maliza ubachela wako kwanza ndiyo uoe.
Halafu nani anataka kuishi na mchepukaji? Kwani kilichowaachanisha hao ni nini?
Badilikeni mnaumiza sana wake zenu na kuwapeleka kwenye maisha wasiyoyataka ...
Hayo ndo majibu yangu kwako sijui wapi namtetea huyo dada!?
Punguza mfumo dume siyo kila mada unayohusu mwanamke uje kumkandia.

Hapo hiyo badilikeni mnaumiza sana wake zenu,ndiyo wenye akili wamenielewa ni kwa vipi wanawake wanaumizwa na wanaume na kupelekea kuishi maisha wasiyoyataka, Hayo maisha siyo lazima yawe ya ukahaba(wanaume wenye akili tu na siyo wavulana ndiyo wataelewa hapo)
 
Ukionja asali utachonga mzinga. Mtu unaweza sema unachepuka lakini utaheshimu ndoa, lakini ukapewa uno la kimataifa. Baadae unaona mumeo/mkeo fala tu.

To be on the safe side, tuache kuchepuka. Huwezi maliza radha za nyuchi zote.
Kumbe nzi akiacha ujinga anaweza akatengeneza asali enhh??
 
Haya
 
Kwahiyo mkuu mke kumruhusu mume wake achepuke ndiyo kuwa submissive??
 
Unakwepa hoja tu!!
 
maneno yako hayo ya sentesi ya Mwisho atakaye yafuata atapotea chunga sana hayo maneno yako na watu wenye maneno kama hayo sidhani kama wameolewa ndo unakuta ni hakimu au doctor hana Mme Kwa sababu ya ujuaji Mwingi
Mkuu nadhani wanaume ndiyo waache kudharau ndoa maana ndiyo wanaongoza
 
Kwaa hiyo sasa hivi na nyie mnawaiga wanaume kufanya umalaya?
Umalaya ulikuwepo kwa jinsia zote mbili tangu enzi za biblia hivyo hakuna jinsia inayoiiga jinsia nyingine, ujumbe hapa ni kwamba wanaume waache kujihalalishia umalaya maana hakuna jinsia inayotakiwa kufanya umalaya kwa sababu yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…