Ila wanawake ni shida sana

Inasemekana mwanamke ukimpa vitu vifuatavyo lazima akugande hata kama hakupendi

Watu wengi hupenda kusema wanawake wa siku hizi wanapenda pesa lakin kiuhalisia si kweli


Je. unataka kujua ni vitu gani vitakavyomfanya akugande bila kumpa hela?
Kama jibu ni ndio basi unatakiwa kujua kuwa wanawak wanapenda hela kuliko kitu chochote kile

Kwa hiyo ww cha kufanya
Kama huna hela mpe pesa
Na kama huna pesa mpe shilling
Ukikosa shilling mpe faranga

Yaani kwa namna yoyote ile tunarudi pale pale wenzetu wanataka hela
 
Hata mama mzazi?😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…