Ila wanawake ni "selective" mno!

Ila wanawake ni "selective" mno!

Kushangaa si tatizo, ila wanaume wengine tumezidi mansplaining.

Yani tunataka kuwapangia wanawake cha kufanya, tunataka kuwaeleza, kuwafundisha, hata pale ambapo hawataki kuambiwa wala kufundishwa.

Kama ulivyofanya wewe hapo.

Kwenye haya mambo kila mtu ana haki ya kufanya anachotaka, hata kama wewe unaona ni kibaya kwake.

Kwa sababu uchaguzi ni wake.

Wakati Tanganyika tunagombea uhuru, Mwalimu Nyerere alikwenda kwenye kipindi kimoja cha TV New York, "Prospects of Mankind" cha Eleanor Roosevelt, aliyekuwa First Lady wa US.

Katika kipindi kile, Nyerere aliulizwa swali.

Tanganyika mnataka uhuru, je, mko tayari kujitawala?

Nyerere alijibu kwa falsafa kubwa, akasema nchi ni yetu, mmetukuta na uhuru wetu, mkauchukua, kama tunaweza au hatuwezi kujitawala ni swali lisilo na maana hapa. Hili swali ni sawa na kumkuta mtu kavaa koti lake, inawezekana halimtoshi vizuri, labda linambana, lakini koti ni lake. Hutakiwi kusema "Wewe, nipe hilo koti liwe langu kwa sababu linakubana". Mwache mwenyewe aamue afanye nini na koti lake.

Sasa, wanawake nao ni kama huyo mtu mwenye koti. Maadam uamuzi ni wao, tusiwazonge kwa hoja nyiingi za kimepanda kimeshuka, jamii bora itakuwa hivi na vile, hoja ambazo ukiziangalia sana ni za mfumodume tu, wanaume wanataka kuwapangia maisha wanawake.

Waacheni wanawake waamue wanavyotaka bila unyanyapaa wala mansplaining.

Na kama kuna kuelekezana na ufafanuzi, tuwasikie wanawake wenyewe wakieleza mambo na kufafanua.

Kwa sababu, ni hatari kwa mwanamme kutoa majibu ambayo anatakiwa kutoa mwanamke.

Wewe jitu dume, utajuaje mchakato wa mwanamke kuchagua mwanamme unaendaje ndani kabisa ya akili ya mwanamke?

100% ✓
 
Kushangaa si tatizo, ila wanaume wengine tumezidi mansplaining.

Yani tunataka kuwapangia wanawake cha kufanya, tunataka kuwaeleza, kuwafundisha, hata pale ambapo hawataki kuambiwa wala kufundishwa.

Kama ulivyofanya wewe hapo.

Kwenye haya mambo kila mtu ana haki ya kufanya anachotaka, hata kama wewe unaona ni kibaya kwake.

Kwa sababu uchaguzi ni wake.

Wakati Tanganyika tunagombea uhuru, Mwalimu Nyerere alikwenda kwenye kipindi kimoja cha TV New York, "Prospects of Mankind" cha Eleanor Roosevelt, aliyekuwa First Lady wa US.

Katika kipindi kile, Nyerere aliulizwa swali.

Tanganyika mnataka uhuru, je, mko tayari kujitawala?

Nyerere alijibu kwa falsafa kubwa, akasema nchi ni yetu, mmetukuta na uhuru wetu, mkauchukua, kama tunaweza au hatuwezi kujitawala ni suali lisilo na maana hapa. Hili swali ni sawa na kumkuta mtu kavaa koti lake, inawezekana halimtoshi vizuri, labda linambana, lakini koti ni lake. Hutakiwi usema "Wewe, nipe hilo koti liwe langu kwa sababu linakubana". Mwache mwenyewe aamue afanye nini na koti lake.

Sasa, wanawake nao ni kama huyo mtu mwenye koti. Maadam uamuzi ni wao, tusiwazonge kwa hoja nyiingi za kimepanda kineshuka jamii bora itakuwa hivi na vile, hoja ambazo ukiziangalia sana ni za mfumodume tu, wanaume wanataka kuwapangia maisha wanawake.

Waacheni wanawake waamue wanavyotaka bila unyanyapaa wala mansplaining.

Na kama kuna kuelekezana na ufafanuzi, tuwasikie wanawake wenyewe wakieleza mambo na kufafanua.

Kwa sababu, ni hatari kwa mwanamme kutoa majibu ambayo anatakiwa kutoa mwanamke.

Wewe jitu dume, utajuaje mchakato wa mwanamke kuchagua mwanamme unaendaje ndani kabisa ya akili ya mwanamke?

😂😂😂😂 mjuba every behavior ya kila jinsia ishakuwa studied, ndio maana articles na papers zipo kwenye department ya behavioral studies ukiacha hayo humanities na social science. Halafu ni nani kakwambia unahitaji kuingia kwenye kichwa cha mwanamke kujua hayo unayoniuliza. Nisichoweza kujua ni vitu ambavyo vipo subjective tu kwa specific individual ila still can be determined by studying circudian rhythm. Nothing new mbona! Mpaka coding ya AI algorithm ya robot la kike na la kiume still was done basing on human behaviuor studies for both sex. Pili umeambiwa hujakatazwa kuchagua, ila no one bares with you on consequences. Sasa kama hiyo sentensi inakuogopesha basi jitafakari, ila hamna jipya. You rip what your sow!
 
No sista usinichukulie vibaya sijakudharau ila maswali mengine unauliza kwa makusudi. Its just a discussion!
Wala hamna shida rafiki. Hapa tunabadilishana tu mawazo kuwa na amani.
 
mjuba every behavior ya kila jinsia ishakuwa studied, ndio maana articles na papers zipo kwenye department ya behavioral studies ukiacha hayo humanities na social science. Halafu ni nani kakwambia unahitaji kuingia kwenye kichwa cha mwanamke kujua hayo unayoniuliza. Nisichoweza kujua ni vitu ambavyo vipo subjective tu kwa specific individual ila still can be determined by studying circudian rhythm. Nothing new mbona! Mpaka coding ya AI algorithm ya robot la kike na la kiume still was done basing on human behaviuor studies for both sex. Pili umeambiwa hujakatazwa kuchagua, ila no one bares with you on consequences. Sasa kama hiyo sentensi inakuogopesha basi jitafakari, ila hamna jipya. You rip what your sow!

Every behavior ya kila jinsia ndiyo nini? Unaweza hata kuzi list?

Unajua behavior inabadilika muda wote kulingana na mazingira?

Kama behavior inabadilika kutokana na mazingira, na mazingira yanabadilika, utasemaje every behavior ya kila jinsia ishakuwa studied?

Kama every behavior ya kila jinsia ishakuwa studied watu wanafanya Ph.D reserches mpya za nini?

Hilo neno jinsia lenyewe unajua linakuwa redefined in a major way?

Nani kakwambia wewe umechaguliwa kuwaelekeza watu lolote kuhusu consequences au hata kwamba watu wanajali what is your idea of consequences?

You are mansplaining women's issues, even after being told that you are mansplaining.
 
Mkuu huo unyama. So wewe kumbe ulikuwa snitch?
Mm snichi hadi kesho kumamae zao. Mm maisha yangu ni broken. Yani kama huna Cha kuofa kwenye maendeleo hata plan huwez kupata kitu kokote Kule. Kama mm sikuamini unataka nikupeleke Kwa wanaoniamni mm wakuamini wewe.
Take principle hiyo usije ukalia huko mbele usije kushangazwa na unaowasaidia
 
Ni z

Ni zilist wakati mapaper yapo nenda kasome. Halafu kuhusu Ph.D mpya kwani ukishazijua hakuna modification na njia za kuzibadilisha au unafikiri kuzijua ndio mwisho😂😂😂😂. Au unavyojua Ph.D ni ya branch moja kwenye science. Wewe ndio umeniambia na manexplain, sijaona mwingine aliyeniambia chief😂😂. Yaani unataka kunidiscipline kwakutumia network, give me a break boss😂😂. 😂😂😂 Unajua tabia gani zinazobadilika na mazingira na zipi hazibadiliki. Unafikiri kila tabia inabadilika na mazingira mjuba, aisee!
 
Mm snichi hadi kesho kumamae zao. Mm maisha yangu ni broken. Yani kama huna Cha kuofa kwenye maendeleo hata plan huwez kupata kitu kokote Kule. Kama mm sikuamini unataka nikupeleke Kwa wanaoniamni mm wakuamini wewe.
Take principle hiyo usije ukalia huko mbele usije kushangazwa na unaowasaidia
Sasa hao mademu na jamaa zao wewe walikukosea nini?
 
Kwema ndugu?

Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa nne, kuna binti ambaye alikuwa ni mrembo, ila alikuwa na urembo wa kawaida si wa kutisha sana....

Ajabu naye alikuwa so picky ikija ishu ya wanaume wa kutoka naye.... alikuwa anachagua wale tunawaita ming'ao kwa lugha ya jeshi, yaani maarufu hivi, wanaheshimika hivi ie viongozi nk

Imagine mwanamke ni wa kawaida halafu anakuwa selective.... yaani wewe kama lofa aisee pita naye mbali huwezi mpata.

Nilikuwa nashuhidia alivyokuwa akigawa spana kwa jamaa zangu. Ila mimi nikatuliza "Kiranga" changu sikumfuata kabisa.

Sasa huyu ni binti tu tena wa kawaida, anajikubali hivi, vipi kwa wewe mtoto wa kiume "zoa zoa"? Kwamba umeshajikatia "tamaa" au? Kwa nini usijikubali?

Ni kumbu kumbu tu jamani!

Akiwa mmbaya ndio agawe kwa kila mtu...
 
Ni z

Ni zilist wakati mapaper yapo nenda kasome. Halafu kuhusu Ph.D mpya kwani ukishazijua hakuna modification na njia za kuzibadilisha au unafikiri kuzijua ndio mwisho. Au unavyojua Ph.D ni ya branch moja kwenye science. Wewe ndio umeniambia na manexplain, sijaona mwingine aliyeniambia chief. Yaani unataka kunidiscipline kwakutumia network, give me a break boss. Unajua tabia gani zinazobadilika na mazingira na zipi hazibadiliki. Unafikiri kila tabia inabadilika na mazingira mjuba, aisee!
Paper inayo list kila behavior ya kila jinsia iko wapi?

Na unajuaje hiyo list imekamilika?
 
Back
Top Bottom