Ila wanawake ni "selective" mno!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Kwema ndugu?

Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa nne, kuna binti ambaye alikuwa ni mrembo, ila alikuwa na urembo wa kawaida si wa kutisha sana....

Ajabu naye alikuwa so picky ikija ishu ya wanaume wa kutoka naye.... alikuwa anachagua wale tunawaita ming'ao kwa lugha ya jeshi, yaani maarufu hivi, wanaheshimika hivi ie viongozi nk

Imagine mwanamke ni wa kawaida halafu anakuwa selective.... yaani wewe kama lofa aisee pita naye mbali huwezi mpata.

Nilikuwa nashuhidia alivyokuwa akigawa spana kwa jamaa zangu. Ila mimi nikatuliza "Kiranga" changu sikumfuata kabisa.

Sasa huyu ni binti tu tena wa kawaida, anajikubali hivi, vipi kwa wewe mtoto wa kiume "zoa zoa"? Kwamba umeshajikatia "tamaa" au? Kwa nini usijikubali?

Ni kumbu kumbu tu jamani!
 
Sioni tatizo.

Kila mtu ana machaguo yake. Na yanapaswa kuheshimiwa. Kila mtu aridhishe nafsi yake.

Kama ambavyo kuna wanaume hawana hela na wanatamani wanawake warembo, waliojazia mikiani alafu maarufu.

Kila mmoja ashinde mechi zake.
 
Daaah haya bhana
 
Kwema ndugu?

Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa nne, kuna binti ambaye alikuwa ni mrembo, ila alikuwa na urembo wa kawaida si wa kutisha sana....

Ajabu naye alikuwa so picky ikija ishu ya wanaume wa kutoka naye.... alikuwa anachagua wale tunawaita ming'ao kwa lugha ya jeshi, yaani maarufu hivi, wanaheshimika hivi ie viongozi nk

Imagine mwanamke ni wa kawaida halafu anakuwa selective.... yaani wewe kama lofa aisee pita naye mbali huwezi mpata.

Nilikuwa nashuhidia alivyokuwa akigawa spana kwa jamaa zangu. Ila mimi nikatuliza "Kiranga" changu sikumfuata kabisa.

Sasa huyu ni binti tu tena wa kawaida, anajikubali hivi, vipi kwa wewe mtoto wa kiume "zoa zoa"? Kwamba umeshajikatia "tamaa" au? Kwa nini usijikubali?

Ni kumbu kumbu tu jamani!
Hao hata mm nilikutana nao. Walikuwa wanapenda wanaotupia pamba Kali mara nguo mpya. Mchiz nimepita tu... Ikifika likizo wao na mabwana zao wananipigia simu kuniomba vocha. Toka nimemeliza chuo wananitumia CV zao wananiona Niko kwenye mitaasisi ya watu. Napokea CV nafutia Meza naagiza juisi ya ukwaju.
 
Wanaume wengi wanaumia na wanapata matatizo kwa sababu hawajikubali na kujiamini. Cha muhimu kupita yote ni thamani yako kwanza. Tuamke vijana.
Ahsante
 
Kwema ndugu?

Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa nne, kuna binti ambaye alikuwa ni mrembo, ila alikuwa na urembo wa kawaida si wa kutisha sana....

Ajabu naye alikuwa so picky ikija ishu ya wanaume wa kutoka naye.... alikuwa anachagua wale tunawaita ming'ao kwa lugha ya jeshi, yaani maarufu hivi, wanaheshimika hivi ie viongozi nk

Imagine mwanamke ni wa kawaida halafu anakuwa selective.... yaani wewe kama lofa aisee pita naye mbali huwezi mpata.

Nilikuwa nashuhidia alivyokuwa akigawa spana kwa jamaa zangu. Ila mimi nikatuliza "Kiranga" changu sikumfuata kabisa.

Sasa huyu ni binti tu tena wa kawaida, anajikubali hivi, vipi kwa wewe mtoto wa kiume "zoa zoa"? Kwamba umeshajikatia "tamaa" au? Kwa nini usijikubali?

Ni kumbu kumbu tu jamani!
Mkuu,

Ulitaka uwe na haki ya kumpangia mwanamke mtu gani wa kuwa naye kwa sababu wewe kwa vipimo vyako unafikiri huyo mwanamke si mzuri?
 
Hao hata mm nilikutana nao. Walikuwa wanapenda wanaotupia pamba Kali mara nguo mpya. Mchiz nimepita tu... Ikifika likizo wao na mabwana zao wananipigia simu kuniomba vocha. Toka nimemeliza chuo wananitumia CV zao wananiona Niko kwenye mitaasisi ya watu. Napokea CV nafutia Meza naagiza juisi ya ukwaju.
Unakosea sana! Nakusihi uache kufanya hivyo mara moja. Kwa nini umefikia kuwadharau mates wenzio namna hiyo?
 
Mkuu,

Ulitaka uwe na haki ya kumpangia mwanamke mtu gani wa kuwa naye kwa sababu wewe kwa vipimo vyako unafikiri huyo mwanamke si mzuri?
Hapana, si kwa vipimo vyangu tu, ni kwa macho ya wanaume wengi alikuwa na uzuri na figure la kawaida mno. Hii ya yeye kuwa selective mno ilinistaajabisha mno...!
 
Back
Top Bottom