Ila wanawake ni "selective" mno!

Ila wanawake ni "selective" mno!

Huoni tatizo lolote katika msimamo huo wa kutaka kumpangia mwanamke mtu wa kuwa naye kwa kuangalia maoni ya wanaume wengi?

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Tatizo lipo! Kwanza kuchagua ilikuw ni haki yake, na privacy yake, hakuvunja sheria za nchi. Hivyo sikuwa sahihi kwa mtizamo wangu huu kwa wakati huo. Nilichobaki nacho ni mshangao na kujiuliza why wanawake wa kawaida wengi niliokutana nao wanajikubali mno, unlike men?
 
Huoni kwamba hilo swali lako lina contradict hiyo haki yao?

Ukishawapa hiyo haki ya uchaguzi, huoni kwamba kuhoji kwa nini wanaamua hivi na si vile katika jambo lenye faragha sana kama hili ni swali linaloingilia kitu ambacho wana haki na faragha nacho?

Ulishawahi kuwauliza hili swali?

Ulishawahi kumwambia mwanamke unayemuona mbaya "Wewe mwanamke mbaya, kwa nini unaringa?".

Unajua kwamba mwanamke hata wewe ukimuona mbaya vipi, bado atatongozwa na wanaume wengi tu na hapo ana haki ya kujiona mzuri, kwa sababu uzuri na ubaya ni vitu subjective na si kila mtu anatafuta kitu kimoja?
 
Kwa hiyo nikishangaa why they are selective na huku nimewapa haki ya privacy, ninakosea mkuu?
 
Jiamini
1 Na popote ukiwepo
Usiwe kama libopo
Usijione simpo

2 Yalo yako ujikite
Mitihani uipite
Hadi ukate upete

3 Usisikie uzushi
Uyafanye kwa utashi
Usiwe na nukusani

4 Tembea nenda na Mungu
Atoae kwa mafungu
Ajua wako uchungu

5 Na hawana utu watu
Mpaka uwape kitu
Nnasi hawana sukutu

6 Kunayo leo na kesho
Lazima litoke jasho
Achana nayo mipasho

Abuuabdillah
0744883353
 
Umemmisi huyo demu sema tu ukweli
Kwema ndugu?

Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa nne, kuna binti ambaye alikuwa ni mrembo, ila alikuwa na urembo wa kawaida si wa kutisha sana....

Ajabu naye alikuwa so picky ikija ishu ya wanaume wa kutoka naye.... alikuwa anachagua wale tunawaita ming'ao kwa lugha ya jeshi, yaani maarufu hivi, wanaheshimika hivi ie viongozi nk

Imagine mwanamke ni wa kawaida halafu anakuwa selective.... yaani wewe kama lofa aisee pita naye mbali huwezi mpata.

Nilikuwa nashuhidia alivyokuwa akigawa spana kwa jamaa zangu. Ila mimi nikatuliza "Kiranga" changu sikumfuata kabisa.

Sasa huyu ni binti tu tena wa kawaida, anajikubali hivi, vipi kwa wewe mtoto wa kiume "zoa zoa"? Kwamba umeshajikatia "tamaa" au? Kwa nini usijikubali?

Ni kumbu kumbu tu jamani!
Hiyo ni kawaida mademu huwa hawataki mtu wa kawaida ni bora waende kwa watu walio juu kwenye taasisi yoyote ile iwe chuo au shule ilimradi iwape kiki kwa ajili ya taswira yao wapate watu wa maana au waonekane matawi ya juu linapokuja swala la mvuto/kusuguana na hii ni duniani kote kwa mfano hapo demu aambiwe kati yako na belle nine amchague nan? we anaweza akakuambia subiri hadi ndoa ila belle nine akiomba saa hivi anapewa hapo hapo.
 
Kwa hiyo nikishangaa why they are selective na huku nimewapa haki ya privacy, ninakosea mkuu?
Unatakiwa kuwa katika position ya wewe kuwa selective na eligible kwa kiasi ambacho huwezi kuona wao wako selective. Yani wawe wanakutaka sana kila kona mpaka hujui kwamba wako selective. Kwa sababu wengi wanakuona wewe eligible, the choice.

Wewe ndiye uwe na tatizo zuri la kuchagua.

Ukishaanza kuona wanawake wengi wako selective sana ujue umekosea maisha sehemu fulani na umeshuka viwango vibaya sana mpaka wanawake wabaya wanakukataa.
 
Kwahiyo ulitaka awe na yeyote tu kisa wewe unamuona wa kawaida..hebu nenda ukasali bwana acha kusengenya wanawake
Wanaume wengi nimeona wana hii tabia mara nyingi wakishindwa kumpata mwanamke fulani wanakuaga na maneno kama haya.
 
Kwema ndugu?

Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa nne, kuna binti ambaye alikuwa ni mrembo, ila alikuwa na urembo wa kawaida si wa kutisha sana....

Ajabu naye alikuwa so picky ikija ishu ya wanaume wa kutoka naye.... alikuwa anachagua wale tunawaita ming'ao kwa lugha ya jeshi, yaani maarufu hivi, wanaheshimika hivi ie viongozi nk

Imagine mwanamke ni wa kawaida halafu anakuwa selective.... yaani wewe kama lofa aisee pita naye mbali huwezi mpata.

Nilikuwa nashuhidia alivyokuwa akigawa spana kwa jamaa zangu. Ila mimi nikatuliza "Kiranga" changu sikumfuata kabisa.

Sasa huyu ni binti tu tena wa kawaida, anajikubali hivi, vipi kwa wewe mtoto wa kiume "zoa zoa"? Kwamba umeshajikatia "tamaa" au? Kwa nini usijikubali?

Ni kumbu kumbu tu jamani!

Hata mwanaume usipokuwa selective inamaanisha hujitambui.
Yaani kila Mwanamke unataka upite naye. Mwishowe upate mikosi.

Kwa Hilo Wanawake wapo Right kabisa.
Napenda Wanawake wabaguzi, wanaoringa, ambao hawafikiki kirahisi.
 
Back
Top Bottom