Ila wanawake ni "selective" mno!

Ila wanawake ni "selective" mno!

Hiyo ni kawaida mademu huwa hawataki mtu wa kawaida ni bora waende kwa watu walio juu kwenye taasisi yoyote ile iwe chuo au shule ilimradi iwape kiki kwa ajili ya taswira yao wapate watu wa maana au waonekane matawi ya juu linapokuja swala la mvuto/kusuguana na hii ni duniani kote kwa mfano hapo demu aambiwe kati yako na belle nine amchague nan? we anaweza akakuambia subiri hadi ndoa ila belle nine akiomba saa hivi anapewa hapo hapo.
Nisubiri mpaka ndoa au siyo?
 
Unatakiwa kuwa katika position ya wewe kuwa selective na eligible kwa kiasi ambacho huwezi kuona wao wako selective. Yani wawe wanakutaka sana kila kona mpaka hujui kwamba wako selective. Kwa sababu wengi wanakuona wewe eligible, the choice.

Wewe ndiye uwe na tatizo zuri la kuchagua.

Ukishaanza kuona wanawake wengi wako selective sana ujue umekosea maisha sehemu fulani na umeshuka viwango vibaya sana mpaka wanawake wabaya wanakukataa.
Nimejifunza. Ahsante sana Mr. Kiranga!
 
Hata mwanaume usipokuwa selective inamaanisha hujitambui.
Yaani kila Mwanamke unataka upite naye. Mwishowe upate mikosi.

Kwa Hilo Wanawake wapo Right kabisa.
Napenda Wanawake wabaguzi, wanaoringa, ambao hawafikiki kirahisi.
Tycoon nimejifunza kwenye mchango wako. Ahsante Mr. Tycoon
 
Kwema ndugu?

Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa nne, kuna binti ambaye alikuwa ni mrembo, ila alikuwa na urembo wa kawaida si wa kutisha sana....

Ajabu naye alikuwa so picky ikija ishu ya wanaume wa kutoka naye.... alikuwa anachagua wale tunawaita ming'ao kwa lugha ya jeshi, yaani maarufu hivi, wanaheshimika hivi ie viongozi nk



Imagine mwanamke ni wa kawaida halafu anakuwa selective.... yaani wewe kama lofa aisee pita naye mbali huwezi mpata.


Nilikuwa nashuhidia alivyokuwa akigawa spana kwa jamaa zangu. Ila mimi nikatuliza "Kiranga" changu sikumfuata kabisa.

Sasa huyu ni binti tu tena wa kawaida, anajikubali hivi, vipi kwa wewe mtoto wa kiume "zoa zoa"? Kwamba umeshajikatia "tamaa" au? Kwa nini usijikubali?


Ni kumbu kumbu tu jamani!
Changamoto yako ilianzia katika kumuangalia uso na mwili wake tu.Ulipaswa uende mbele au ndani zaidi.Wao huangalia anamiliki nini ambacho kinamfanya mwanaume aweweseke.Sura siyo ishu.Sura pelekea mama ngedere.🤔
 
Tycoon nimejifunza kwenye mchango wako. Ahsante Mr. Tycoon

Iko hivyo.

Mitazamo ya Watu isiamue katika maamuzi na machaguo yako.

Yaani Kwa vile wewe ni kijana labda unatoka familia Maskini na labda hauna mvuto ati ndio iwe sababu ya kutochagua Wanawake warembo na wenye hadhi. Huko ni kutojitambua.

Halikadhalika na Wanawake.
Muonekano wake na asili yake labda ni umaskini wa kwao. Isiwe kigezo cha Watu kumchagulia wanaume dhaifu au wasio na mvuto autakao(kulingana na vile apendavyo).

Kama Binti anataka kijana mzuri au maarufu, au mwenye Pesa Kwa nini Vijana wasio na hizo Sifa Waumie? Na watake kumdidimiza kisa ya vile anavyoonekana?

Ni kweli hata Mimi demu akinizingua Kwa Sifa ambazo sina ninaweza nami kumzingua ili nipate ahueni, lakini kwake sitaona anamakosa
 
Hao hata mm nilikutana nao. Walikuwa wanapenda wanaotupia pamba Kali mara nguo mpya. Mchiz nimepita tu... Ikifika likizo wao na mabwana zao wananipigia simu kuniomba vocha. Toka nimemeliza chuo wananitumia CV zao wananiona Niko kwenye mitaasisi ya watu. Napokea CV nafutia Meza naagiza juisi ya ukwaju.
We jamaa fala sana,nimecheka kinoma!
 
Back
Top Bottom