KERO Ila TCU inachofanya sio fair hata kidogo

KERO Ila TCU inachofanya sio fair hata kidogo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wanasema wana deal tu na watu walio Report chup .sasa yeye si alikuwa bado haja Report sababu tulikuwa tunasubiri apangiwe mkopo
Ndiyo maana nimekuambia tcu walitoa muongozo kwa walipangiwa hiko chuo wiki moja kwamba wahamie vyuo vingine.

 
Back
Top Bottom