Ila maisha

Kawaida mkuu n mapito
Sema mi ile kusema nimepitia magumu saaaana sijawahi hua ni zile tu changamoto na upungufu wa familia zetu za kitanzania, japo Kuna hyo Moja nlizinguaga home nkakimbilia mkoa mwngn, nlisota huko nlikoenda sio powa mwisho wa siku nlirudi mwenyewe!
 
Ukiondoka bila baraka za wazazi utajirudi tu
 
Daa
Kwa maisha ya sasa hivi bundle ni sawa na damu mwilini
Ni kweli,ila angelitumia Sasa kupata kitu Cha kupooza njaa
 
Jf ya zamani ilikuwa very helpful, hata ukiwa na shida unasaidiwa.Hii ya sasa ina namna yake.

Pole kwa majukumu hapo.
I MISS THAT JF.
watu waliuguzwa, walizikwa, walilewa pamoja, walizikiwa ndugu, walilipiwa ada, walioa, waliolewa, walizaa yani ilikuwa ni full life iliyokamilika kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…