Ila kuna watu wana machozi ya karibu

Ila kuna watu wana machozi ya karibu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,523
Reaction score
830,071
KUMBUKIZI: Huuu moshiii mweusi au mweupe jamani maana ukiona mtu mzima anaria ujue kuna jambo jamani ubunge laah,kibaka wa Siasa hii ndiyo CCM/.... SASA NI No Reform no Election hivi bungeni kuna nini jamani🤣🤣🤣

Huuu moshiii mweusi au mweupe jamani maana ukiona mtu mzima anaria ujue kuna jambo jamani ubunge laah,kibaka wa Siasa hii ndiyo Ccm/No Reform no Election hivi bungeni kuna nini jamani🤣🤣🤣View attachment 3402016
Mkurya gani analia
Hyu kujipendekeza kote huko ccm
Hawamtaki...alitumia nguvu nyingi Kum attack heche na cdm akijuwa ndiyo ngao yake lakini wapi!
Mambo ya usaliti hayo Erythrocyte

Ova
 
Mkurya gani analia
Hyu kujipendekeza kote huko ccm
Hawamtaki...alitumia nguvu nyingi Kum attack heche na cdm akijuwa ndiyo ngao yake lakini wapi!
Mambo ya usaliti hayo Erythrocyte

Ova
HahahahašŸ˜€šŸ˜€bonge nyanya
 
Huuu moshiii mweusi au mweupe jamani maana ukiona mtu mzima anaria ujue kuna jambo jamani ubunge laah,kibaka wa Siasa hii ndiyo Ccm/No Reform no Election hivi bungeni kuna nini jamani🤣🤣🤣View attachment 3402016
Hapo unawaza mikopo uliyokopa ili ukafuge kuku.

Biashara ilipoanza, hukuifuatilia sana kwq kuwa ulikua na mianya mingine ya kupiga hela.

Sasa leo buuuubaaaaaaa!!!!

Bebe nazo saizi ukizipigia simu unajibiwa na computer
Naamba unayoipigia ..............
 
Back
Top Bottom