Ila kuachwa

Pole kwa kuachwa,

Kama una Passport au unaweza kupata Passport, fungua PM tuongee kwa uzuri
 
Jirani pole 😹😹
Oga rudi kwa soko muda bado utapata mwingine..!!

Ila uliechit naye kuna vitu kakosa usingejilaumu na kujiliza mahi 😹
Kumbe akiwa hajakizi vigezo alafu kikabuma inawaumaga sana?

Mkinga mwenzako nilimchangamsha vizuri ad akakolea alafu ghafla nimempotezea. Tukikutana road ananiwakia balaa
 
Kumbe kosa ni lako ndo maana umeachwa mlongo, hapo pambana mwayaa.

Ingekua vinginevyo, ningekupasia mganga konkii, ex shem angekufata kukuomba msamaha huku akiwa anatambaa km mtoto wa miezi 9.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Coca Kuna konekshen ya mtaalam wa ......... naitaji
 
Imagine aliwekwa dogi kitu ikapakwa mafuta fikicha kidogo kwenye mashavu ya naniii route mbili tatu penyeza yote chekecha nyashi ifiti vizuri mamaye πŸ˜‚hakuna kusamehe msalitii
Jamaniii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Namuomba huyo mganga konki maana shemeji yako anashindwa kutuliza Delibolo lake πŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈ
Jamani km uko serious, njoo PM nikupe connection.
Shem lazima atulizwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…