Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 7,924
- 20,912
Kundi langu mbona halijatajwa hapo (kataa ndoa)
Kundi langu mbona halijatajwa hapo (kataa ndoa)
Kwa hiyo,unashauri Nini?Kuna mwamba kauliza jana "hivi wenzangu mnawezaje kupiga bao tatu wakati mimi moja inatosha tu na huwa inakinai"
Hii yote ni kutokana na mwamba kusoma posts nyingi humu kila mtu anajisifia kwenda hadi round nne😂
Yani humu JF kila mtu ni tajiri.
Ana nguvu za kiume
Kila mdada humu ni under 30
Kila mtu mwanasaikolojia
Kila mtu mhariri wa nyuzi
Sasa hivi kila mtu anaanza kuwa atheist, kila mtu anaamua kukataa ndoa, etc
Ila JF hahah, anyway maisha yaendeelee😂
Mabwakuuu. 😂😂😂
Binti Sayuni03 kama nakuona vile upo siti ya nyuma kulee, ona kulee umevaa gauni la pink kwenye kundi namba 1 na birika lako kubwa la chai unasubiri tu kutugawiaNilichokigundua humu Kuna team tatu
1. Wavamia nyuzi kukoment Hawa asilimia kubwa si wa kuwaamini ni wababishaji much know haswa wanaonifanya Kila kitu wanakijua ni wataalam wa kukosoa Kila jambo
.2. wapeda ku like na kupita kimya
Hawa wanalike either comments zitakazokuwa zimewavutia ama wengine watalike kuonesha sapoti wamepita
3. Wapita kimya kimya
Hawa wapi wengi wapita kimya watasoma nyuzi kmya kmya wateendelea na mambo yao.. Hawa baadhi yao wakivutiwa na mada ama komenti Yako watakuzamia pm kukuomba ufafanuzi ama maelekezo
Humu kumejaa Kila aina ya watu. Kuna mashoga, matapeli vibaka, watu wema, matajiri, jobless, majambazi, wasiojulikana, slay queens, gold diggers n.k so take care mazee
Iko vizuri sana!
Hapo safi mkaliHatujamno , tunaendelea na mapambano mangi
Nomaa sanaMabakwuu kwli kweli
Au round za goli la kijogoo jogoococastic kuna ukweli hapa?😂😂😂
Sekunde tu kituuu😀😀😀😀😀Au round za goli la kijogoo jogoo
Wafanye kapati tuu hata kwa soda!Tuwaone.Mi nashangaa kila mtu anasema yupo nje ya nchi na kila mtu ana uwezo wa kuingiza milioni moja kwa mwezi.
Wafanye kapati tuu hata kwa soda!Tuwaone.
Tuliowahi kuajiriwa,ajira ni Utumwa!Kila mtu jf ana gari
Kila mtu jf ana degree
Kila mtu jf ana Ajira
Halafu kutujazia Uzi humu, kutumalizia mb zetu bure hapa.😐Sekunde tu kituuu😀😀😀😀😀
NI utumwa ukiwa na backup plan nzuri, kama huna hiyo mkuu huo utumwa unafaa SanaTuliowahi kuajiriwa,ajira ni Utumwa!
Kwanin?Tuliowahi kuajiriwa,ajira ni Utumwa!