Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,032
- 2,769
- Thread starter
- #21
Huwezi kuongoza nchi ikiwa wewe ni mseja !!!Mkuu Mganguzi, hakuna ibara yoyote ya Katiba yetu inayomtaka Rais/mgombea wa Urais awe na mke/mume. Maoni yangu juu ya hoja yako ni inawezekana kuna masuala ya kiimani au kifamilia katika jambo hilo. Tuheshimu mambo yalivyo. Ni hayo tu mkuu