Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,288
Ikulu imekanusha habari zilizotolewa jana,na leo na gazeti la nipashe, Kwamba raisi jk aliwapunguzia kutoka kwenye hukumu ya kifo mpaka kifungo cha miaka miwili,makonstebo wa upelelezi waliomuua imran kombe mwaka 1996,'kwamba maamuzi hayo yalifanyika kabla yeye JK hajaingia madarakani!
Source taarifa ya habari chanel ten sa moja usiku
nawasilisha
Source taarifa ya habari chanel ten sa moja usiku
nawasilisha