Ikulu yakanusha

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,288
Ikulu imekanusha habari zilizotolewa jana,na leo na gazeti la nipashe, Kwamba raisi jk aliwapunguzia kutoka kwenye hukumu ya kifo mpaka kifungo cha miaka miwili,makonstebo wa upelelezi waliomuua imran kombe mwaka 1996,'kwamba maamuzi hayo yalifanyika kabla yeye JK hajaingia madarakani!

Source taarifa ya habari chanel ten sa moja usiku
nawasilisha
 
Kama uamuzi wa kuwaachia hao wafungwa wa kunyongwa ulifanyika kabla ya JK kuingia madarakani, yaani kama miaka sita hivi iliyopita, imekuwaje wanaachiwa hivi sasa? Kwa kawaida, hukumu ya kifo hubadiliahwa kwa kifungo cha maisha, sio kifungo cha miaka miwili; what was so special about these two convicts? Au aliyeagiza waachiwe ndie aliyeagiza auwawe?

macinkus
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom