Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,301
- 4,707
Hivi unaujuwa umri wangu,Mbona unang'ang'ania kuniweka kwenye rika lisilo langu?
Kwani wewe sio BAVICHA? Maana reasoning yako ni purely BAVICHA?
Hivi unaujuwa umri wangu,Mbona unang'ang'ania kuniweka kwenye rika lisilo langu?
In a serious note, hata na mimi nilishangaa sana mpaka nikaanza kujiuliza hivi huyu bwana Msigwa ana taaluma gani!? Hii ni aibu kubwa ....!!!
nani amekata aliyescan au aliyeandika
Wee jamaa upo dk 2 zilizopita kuna sehemu nimeona unauliziwa kuna jamaa kasema umepigwa ban ya miaka 10!Sioni kosa lolote la Gerson Msigwa. Inategemea ni kifaa gani kilitumika kucopy kutoka kwenye original source. Vifaa vingine vina kawaida ya kuhamisha sehemu maneno ya kulia na kupeleka kushoto
Na hapa una maoni gani?Acha ujinga wako bhana, wakati mwingine acha ushabiki wa kijinga, huu ndio uandishi gani? Hakuna uandishi wa style hio Please. Huu ushabiki wako ukizidi unakua ukichaaa
Barua haijasainiwa, au unaona ni sawa??Na hapa una maoni gani?
View attachment 367221
Hata kama alicopy na paste .... final document ni muhimu maana ndiyo inayokwenda kusomwa na ndiyo aliyoisaini.Sioni kosa lolote la Gerson Msigwa. Inategemea ni kifaa gani kilitumika kucopy kutoka kwenye original source. Vifaa vingine vina kawaida ya kuhamisha sehemu maneno ya kulia na kupeleka kushoto
Mkuu, usiwe mvivu wa kusoma. Tembelea tovuti ya Ikulu taarifa hii ipo. Ndio maana umepewa hiyo link ili kama una wasiwasi na hiyo barua basi nenda kwenye tovuti halisi. Kwa uzoefu wangu, taarifa zote za Ikulu hazina saini ya mtoa taarifa.Lizaboni tuwekee yenye sahihi na yenye format ya Kurugenzi ya Habari nitaamini chombo kilichotumika kuscan kina shida....
Nenda kwenye tovuti ya IkuluBarua haijasainiwa, au unaona ni sawa??
Ok sawa, vipi maandalizi ya Mkutano Mkuu Dodoma yanaendeleaje??Nenda kwenye tovuti ya Ikulu