Ikulu yakanusha uteuzi wa Jerry Muro

Babu wa Kambo

JF-Expert Member
May 2, 2016
559
808
Ikulu imekanusha kumteua Jerry Muro kuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu

1468776271294.jpg
 
Haya sasa tatizo watu wanarukia vitu wasivyojua na kuvitoa bila kujua chanjo ona sasa mnavyoumbuka!!
 
....asubuhi watu walikuwa wanamwagika povu hapa!, ooh Malinzi mbaya kaumbuka (wakati wala sio Malinzi aliemfungia, ni kamati ya maadili)!, wambili havai moja!, kelele kibao kisa kuingiza uyanga wao kwenye mambo ya msingi, sasa hivi sijui mtajificha wapi?!
 
Matamko mengine bhana!"eti ikulu inawaomba wananchi wazipuuze taarifa hizo na waendelee na shughuli zao za kila siku",kwani nani hupoteza muda kwa kusubiri matamko ya ikulu?

.....mmoja kati ya wale waliokuwa wanatapika povu asubuhi!:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom