Ikulu yakanusha uteuzi wa Jerry Muro

Ikulu yakanusha uteuzi wa Jerry Muro

Huwa sishughulishwi na vitu visivyo na tija,fuatilia hilo bandiko unalolisema kama utakuta mchango wangu,kurugenzi ya mawasiliano ikulu haina maana yoyote kwangu,hivyo siwezi kupoteza muda wangu kujadili jambo lisilo la msingi.

...eeh, sasa mbona unajadili hili!
 
Yote haya yanasababishwa na wenye vyeti bandia waliotinga pale, elimu mwendo kasi vinginevyo haiwezekani kila siku ni madudu tu ndani ya Ikulu na masahihisho kila kukicha.

Ikulu iache kujidharirisha,ikulu gani inajibizana na mamitandao
 
Kuna kikundi cha watu wahuni kazi yake ni kutunga vitu vya uwongo kila siku. Hiyo habari toka ilivyowekwa humu jana wengine tulijua kabisa kuwa ni uzushi.
TCRA fanyeni kazi yenu kukamata wazushi.
 
Yote haya yanasababishwa na wenye vyeti bandia waliotinga pale, elimu mwendo kasi vinginevyo haiwezekani kila siku ni madudu tu ndani ya Ikulu na masahihisho kila kukicha.
mambo ya msingi kama kuajiri maDAS na maDED bila kufuata taratibu,hawajibu.Kuhusu VAT kwenye miamala hawajawahi kujibu
 
Niliamini nilipo isoma kwenye mitandao Jana!! Kumbe ni kutunga tu kwa watu. Viva Ikulu kwa ukweli.
 
Kuna kikundi cha watu wahuni kazi yake ni kutunga vitu vya uwongo kila siku. Hiyo habari toka ilivyowekwa humu jana wengine tulijua kabisa kuwa ni uzushi.
TCRA fanyeni kazi yenu kukamata wazushi.

sawa kabisa mkuu TCRA inabidi iwafuatilie kabisa
 
Safi sana aiseee! Nilishtuka sana nilipoona taarifa ile imetolewa usiku wa manane.
 
Huyu jamaa daaah sijui kawakosea nin walimwengu...
 
Kuna kikundi cha watu wahuni kazi yake ni kutunga vitu vya uwongo kila siku. Hiyo habari toka ilivyowekwa humu jana wengine tulijua kabisa kuwa ni uzushi.
TCRA fanyeni kazi yenu kukamata wazushi.
Nakubaliana na wewe Mkuu. Watu wazushi sana
 
Kuna kikundi cha watu wahuni kazi yake ni kutunga vitu vya uwongo kila siku. Hiyo habari toka ilivyowekwa humu jana wengine tulijua kabisa kuwa ni uzushi.
TCRA fanyeni kazi yenu kukamata wazushi.

Mmmh, hao TCRA wamewashindwa makampuni yenye ving'amuzi kama startimes nk kutulipisha kwenye local chanels ndio unawapa kazi isiyo na tija itasaidia nini?
 
Back
Top Bottom