TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,561
- 28,557
waswahili tumezidi uswahili. ...siamini kama kweli tunapenda kufafanua vitu ambavyo hatuna ushahidi ...mnauhakika gani kuwa barua ilisainiwa katika hali ile. ..hivi unascan barua na kuiprint ndiyo unasini au unaprit kwanza na kusaini ndiyo unascan nakisha kuisamba ama kuiprint tena?