Ikulu yakanusha uteuzi wa Jerry Muro

Ikulu yakanusha uteuzi wa Jerry Muro

Halafu hata Muro mwenyewe aliziamini hizi tetesi, sijui hajui taratibu za ajira kwamba unapewa barua kwanza??!
 
Ila mm napata shaka na hii taarifa kutoka Ikulu!. Yawezekana ni kweli mbona ya suala la GPA pia walikanusha baadae Wakapandisha hadhi 3.5!!!
 
Alie edit hyo document mbona inasomeka kwa tabu? Mwanzo wa sentensi na mwisho kuna baadhi ya maneno yamekatwa.
 
Angalao taarifa hii imekaa kidiplomasia zaidi na haina vitisho, ingekuwa taarifa ya nape ungesikia Serikali itawachukulia hatua Kali wale wote waliohusika na uvumi huu
 
Mhh! Jerry Muro wamemuwangia mpaka kaikosa fursa adhimu.

Kwa vyovyote vile uteuzi wa Jerry Muro Ikuly ungekuwa kosa kubw sana na udhalilishaji wa taasisi ya Urais; Mungu apishe mbali, Jerry Muro hayuko sawasawa, anahitaji maombi ya hali ya juu sana.
 
Matamko mengine bhana!"eti ikulu inawaomba wananchi wazipuuze taarifa hizo na waendelee na shughuli zao za kila siku",kwani nani hupoteza muda kwa kusubiri matamko ya ikulu?

Jaribu kuwa makini, kwani Msigwa ana maana watu husubiri matamko toka ikulu? Soma tena na uitafakari hiyo sentensi na umlete Muro kwenye picha, utaelewa. Na mnao kimbilia ku-like muwe makini, mnaidhalilisha jf. Ovyo kabisa.
 
Watu walikuwa wanatokwa povu utadhan wamekunywa juice ya omo na kipande cha sabuni ya mshindi. Nlitaka kuona sasa ikulu inajidhalilisha sana. Sina tatizo na jenny muro ila amekuwa wakati mwingi akiacha busara na elimu pembeni na kufanya mambo ya kma mtu ambaye hajaelimika. Mi nashauri ni bora sisi wana yanga pia kumshauri.si wote tunaopenda maneno ya kipuuz.tunataka soka la ukweli na msemaji anayejielewa.
 
Kwa vyovyote vile uteuzi wa Jerry Muro Ikuly ungekuwa kosa kubw sana na udhalilishaji wa taasisi ya Urais; Mungu apishe mbali, Jerry Muro hayuko sawasawa, anahitaji maombi ya hali ya juu sana.
Mhh, hayuko sawasawa?
 
Matamko mengine bhana!"eti ikulu inawaomba wananchi wazipuuze taarifa hizo na waendelee na shughuli zao za kila siku",kwani nani hupoteza muda kwa kusubiri matamko ya ikulu?
which begs the question, wao wenyewe mbona hawajaipuuza hicho kitaarifa cha uongo waendelee na kazi zingine za Ikulu?

Eti wana quote ki paragraph kizima cha JF ambacho hakina jina, kichwa wala miguu...
 
29619726.pdf_page_1.jpg


Maoni yangu

Ifikiea hatua sasa wanaosambaza uzushi wachukuliwe hatua za kisherioa, wakiendelea kuacha hivi hivi ipo siku watasambaza uzushi wa jabo kubwa zaidi na kuzua taharuki nchini
 
Back
Top Bottom