jd41
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,756
- 4,849
Ikulu iache kujidharirisha,ikulu gani inajibizana na mamitandao
..."kujidhalilisha"
kibuyu ulitaka uongo uendelee kusambaa uzidishe sintofahamu!, bavicha sometymes!
Ikulu iache kujidharirisha,ikulu gani inajibizana na mamitandao
.....mmoja kati ya wale waliokuwa wanatapika povu asubuhi!😀😀😀😀
Uzee ni tunu,kama wewe unauchukia uzee basi utakuwa na matatizo,lakini sishangazwi na hili ulilolisema,unasimamia msimamo wa chama chako cha majipu kinachowaona wazee kama watu wanaosubiri kufa.
Kick zinatafutwa kwa nguvu mjini...
Kweli kuna tofauti kati ya ikulu ya zaman na ikulu ya sasa.good job ndugu, G.Msugwa,kamwe usiache uongo uenee maana ukienea sana utaaminiwa na wengi.
Umeona vijana wenzio wakimtusi Mzee Mtei kwa kumsifia Magufuli?
Wewe hapoMatamko mengine bhana!"eti ikulu inawaomba wananchi wazipuuze taarifa hizo na waendelee na shughuli zao za kila siku",kwani nani hupoteza muda kwa kusubiri matamko ya ikulu?
Nilisha sema bavicha ni kama Nyumbu tuu..."kujidhalilisha"
kibuyu ulitaka uongo uendelee kusambaa uzidishe sintofahamu!, bavicha sometymes!
kibuyu bibi yako..."kujidhalilisha"
kibuyu ulitaka uongo uendelee kusambaa uzidishe sintofahamu!, bavicha sometymes!