Kwa uhalisia kama Serikali iliamua kuwekeza katika Serikali Mtandao haikupaswa teketeza zaidi ya Tril 3 kwa ajili ya ujenzi wa DodomaKulikuwa hakuna haja ya kuhamishia makao makuu ya serikali kwenda Dodoma.
Hii ilikuwa project ya anasa za kisiasa tu.
Tumetatua tatizo ambalo halikuwapo, wakati matatizo yetu mengi yaliyokuwapo mpaka leo hatujayatatua.
hapaNeno wazo umetoa wapi hapo?
aliyeiota nimemchukulia kama ndiye mwenye wazo, na ndivyokati ya aliyeiota, aliyeisimulia na aliyeifanyia kazi
Kwanini uchukulie mkuuhapa aliyeiota nimemchukulia kama ndiye mwenye wazo, na ndivyo
Ndiyo hivyo tena.Tunatatua matatizo tusiyo nayo, ya kuwa na mji mkuu mpya, wakati hayo matatio mengi ambayo tunayo hatujayatatua.Kwa uhalisia kama Serikali iliamua kuwekeza katika Serikali Mtandao haikupaswa teketeza zaidi ya Tril 3 kwa ajili ya ujenzi wa Dodoma
Ofisi za Wizara tu zimechukua Bilioni 600, hizo fedha zingejenga madarasa nchi nzima na kuondoa uhaba wa madarasa.
Msalato Airport bilion 300+
Hizo fedha zingejenga hospital, zahanati, vituo vya afya na kuondoa tatizo hilo kwa miaka 10 ijayo.
Bilioni 300+ za Ringroad zingetosha kure educate walimu wetu na kutengeneza mitaala mipya
Bilioni 100+ zilizojenga Makao Makuu ya Mahakama zingetosha kujenga vyuo vikuu vipya 2
Bilion 100+ zilizojenga Makao Makuu ya jeshi zingetosha kununua vifaa tiba vya hospital zote MRI, CT Scan, Xrays
Tril 1 ingetosha kujenga barabara za lami zaidi ya KM 500 ambayo ni sawa na barabara mpya kutoka Dar hadi Iringa
Hekari 8700+ sio mchezo.Kumbe wanajenga na njia ya ndege!
Nadhani eneo la ikulu yetu litakuwa kubwa kuliko hata Marekani halafu eti sisi ni masikini!
Yaani kati ya kitu ambacho hata wao wanajua walikosea ni hiloKwa pesa zilizotumika na zinazoendelea kutumika kwenye hiyo sarakasi ya hapo Dodoma ni vigumu kuamini kama hii nchi kweli ina viongozi wanaoelewa maana ya neno vipaumbele............huduma za wananchi bado ni duni, maji, elimu, barabara, afya, umeme, ajira kwa vijana, mishahara duni ya watumishi, ufukara uliopindukia wa wananchi walio wengi, unafanya anasa za kujenga mji wa kisasa, sijui majengo ya kisasa ya serikali Dodoma kweli!!?
Ikulu ni nyumba ya mtawala wa nchi. We ulitaka ijengwe kwa tembe?Je, kuna ulazima wa yafuatayo au ni kupoteza pesa za walipa kodi?
NB: Kama wanatimiliza Ndoto ya Nyerere kwanini Complex isiitwe Nyerere Complex au iitwe aliyeanzisha Ujenzi Magufuli Complex. Kwanini iitwe Samia Complex?
- Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu.
- Ujenzi wa Viwanja vya Golf.
- Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000
Je, Watanzania tuna kodi kiasi hicho kujenga Ikulu ya namna hiyo? Kuna ulazima gani?
Je, nani mnufaika wa hayo yote?
Kwanini hizo pesa zisiende kwenye elimu ya awali na msingi maana huko ndo chanzo cha madudu ya huku juu?
Wewe ni maviIkulu ni nyumba ya mtawala wa nchi. We ulitaka ijengwe kwa tembe?
Ikulu ni nyumba ya watanzania. Lazima ijengwe kwa gharama kubwa kuakisi ukubwa wa nchi.
Tunahitaji rais akikaa ikulu asiwe na mawazo ya kuangukiwa na ukuta ama kunyeshewa.
Kuhusu jina la kuita hiyo complex, kwa nni unaona wivu ikipewa jina la mama Samia Suruhu rais wa kwanza mwanamke Tanzania na mwanamke wa pili Afrika baada ya Hellen Jonson Serlief wa Liberia?
Tanzania hatuna uhaa wa ardhi, hivyo wacha ikulu itengewe nafasi yakutosha.
Magufuli stendi ya mabasi inamtosha sana.
Lakini pia uache wivu na makasiriko ya hovyo
Itajengwa runway Ikulu? Au una maana helicopter landing spot?Je, kuna ulazima wa yafuatayo au ni kupoteza pesa za walipa kodi?
NB: Kama wanatimiliza Ndoto ya Nyerere kwanini Complex isiitwe Nyerere Complex au iitwe aliyeanzisha Ujenzi Magufuli Complex. Kwanini iitwe Samia Complex?
- Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu.
- Ujenzi wa Viwanja vya Golf.
- Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000
Je, Watanzania tuna kodi kiasi hicho kujenga Ikulu ya namna hiyo? Kuna ulazima gani?
Je, nani mnufaika wa hayo yote?
Kwanini hizo pesa zisiende kwenye elimu ya awali na msingi maana huko ndo chanzo cha madudu ya huku juu?
[emoji23][emoji23][emoji23] shangaziiiiiiiiii= analazimisha.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
[emoji23]= halafu
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kabisa. Naunga hoja brother Kiranga!Kulikuwa hakuna haja ya kuhamishia makao makuu ya serikali kwenda Dodoma.
Hii ilikuwa project ya anasa za kisiasa tu.
Tumetatua tatizo ambalo halikuwapo, wakati matatizo yetu mengi yaliyokuwapo mpaka leo hatujayatatua.
[emoji23][emoji23][emoji23] sagia kunguni kibibiKimamasikini ndio kitu gani?
Shule ulienda kujifunza ujinga..!??
Hivi utaelewa lini?Kwani kuna mahali serikali imesema imekosa hela ya kuendeshea elimu? Ni sahihi kuwa na eneo kubwa la Ikulu maana pale Dar kuna mpaka wanyamapori sasa kwa Ikulu ya Chamwino kuwa na eneo kubwa itakuwa rahisi hata kuanzisha hiyo game ranch kwa ajili ya wageni wetu! Eneo lina ukubwa wa ekari elfu 8 sasa wakigawa hata ekari elfu 6 au 7 kwa ajili ya game ranching itapendeza sana!
Akili na ya vipaumbele azipo.
Chawa hawakosekani, kusifia kila kitu...Wewe ni mavi