Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 34,956
- 56,083
Ni bora mara mia moja alivyoenda kuliko angepotezea.Ulikuwa Ni mpango wenye( plans) A&B with extra options.Nae uroho wa ubwabwa wa ikulu umemponza, mtu umetoka kumzodoa juzi tu leo anakualika halafu bila kujiuliza we huyo kufuata ubwabwa.