Ikulu Mawasiliano hawakuripoti taarifa ya safari ya Rais huko Zanzibar! Kulikoni..???

Nimeona taarifa Mh Rais yuko Zanzibar leo anazindua miradi gani sijui ila ajabu sio kama utaratibu tuliouzoea sasahivi Mh Rais anasafiri kimya kimya kulikoni?

Ikumbukwe siku 5 nyuma page ya Ikulu iliutaarifu umma kuwa Mh Rais Samia ataondoka kwenda Zambia kushuhudia uapisha wa Rais mteule wa Zambia ila chaajabu walifunga comment na leo kaibukia Zanzibar bila taarifa! Shuda nini haswa? Comment zinawakera?
Msemaji wa Ikulu ni Arsenal damu
 
Wale wajinga sasa hivi hata wakipost wanazuia comments sijui wamekuaje
 
Back
Top Bottom