Ndugu wanaJF nimesikitishwa sana na kauli alizotoa msemaji wa ikulu,ndugu Salva Rweyemamu juu ya wanaohoji uhalali wa Dowans Tanzania Ltd,kama dr.Slaa! Salva amechanganyikiwa kwa kuitetea Ikulu kwa kutumia maneno ya kijijini kwao Ijumbi! Uzabinazabina na kuchanganyikiwa anakosema ndugu Salva ndo nini? Mwl.Nyerere alisema Ikulu ni mahali patakatifu! Nashangaa maneno haya yamegongwa muhuli wa Ikulu kumkejeli na kumdhalilisha Mtanzania mzalendo dr.Slaa. Serikali ilitenga sehemu inaitwa Mirembe pale Dodoma ili kuwaweka vichaa na waliochanyikiwa sasa Salva badala ya kumpeleka huko dr.Slaa yeye anakimbia kuwataarifu watanzania kuwa mzee wetu dr.Slaa ame'chizi'! Tukueleweje Salva? Ndugu wanaJF,Salva ndo chizi,tena chizi aswaa! Salva tangu ahitimu pale Rubya Seminari,amelelewa kwa karibu na babake mdogo mzee Francis Kadogo wa Nyamagoma kijijini Katare,Buganguzi karibu kwa Afande A.Tibagaina,ila Salva alipokuja mjini ameitelekeza familia yake,na Mzee Kadogo yupo ktk siku za mwisho wa maisha yake kwa ugumu wa maisha! Mzee Francis Kadogo analaani kitendo cha Salva kumtupa afe kwa dhiki! Mzee amepooza takribani miaka 10 hawezi kunyanyuka wala kutoka alikolala wakati Salva amehamia ikulu kula raha kama vile ni mtoto wa msoga,chalinze. Huyu naona amechanyikiwa zaidi ya mwenzake dr.Slaa aliyetueleza kodi yetu ilipo! Amesahau alikotoka na mola atamlipa! Salva anakula na kulala pale Mango garden kisha kwenye nyumba yake pale pembeni mwa Mango ikingali mzee Kadogo anaishi nyumba ya udongo,mbavu za mbwa! Mzee Kadogo anaishi kwa kuuza Gongo/local brew konyagi na Rubisi,kwa msaada wa mke wake,MA Belena na watoto wao walio na ufukara wa kutupwa! Sasa nani Mzabinazabina na aliyechanganikiwa,dr.Slaa mzalendo au Salva mlinzi wa ikulu?? Dunia hadaa,ulimwengu shujaa,kwa kuwatelekea mzee Kadogo na Ma Belena,mi namuona Salva ndo mzabina zaidi ya wale wazalendo anaowakashifu! JF mshauri uyu mzamiaji aijue familia yake kwanza kabla ya kuwakoromea wenzie. Salva, kwangu ,amechanganyikiwa yeye!