IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

JK si miliki wa Dowans bali ni mshabiki namba moja wa Mikataba mibovu, kuanzia IPTL, Richmond.Rites, Madini, Epa vitambulisho vya taifa, artumas, bomba la mafuta dar mpaka mwanza, umeme wa majenereta ya mw 100, na mw 60 kwa mwanza
 
pesa wamekula na wanataka kula zingine, ila wanaishi matumbo joto!
 
Kama kikwete si mumiliki wa dowans sasa tuna mtaka
amutaje mumiliki wa dowans
 
huyu jamaa aliandika akiwa amelewa kweli inaonekana,......na kwa nini ana matusi hivo au ndo induction ya anapo fanyia kazi eh?
 
Na kama kweli Dk. Slaa ametoa kauli hii na kusema maneno ya namna hii basi sasa Watanzania wanayo kila sababu na haki ya kuamini kuliko wakati mwingine wowote kuwa mzee huyu (Slaa) sasa amechanganyikiwa na ni mtu wa hatari sana kwa utulivu wa nchi hii.
Hivi Utulivu wa nchi hii unatokana na watu kushangilia viongozi na kufumbia macho uovu... Tutafika kweli .
 
Hongera sana Dr. Slaa kwa ujasiri ulionao. Mungu azidi kukubariki na kukupa maisha marefu zaidi.
 
Ndugu wanaJF nimesikitishwa sana na kauli alizotoa msemaji wa ikulu,ndugu Salva Rweyemamu juu ya wanaohoji uhalali wa Dowans Tanzania Ltd,kama dr.Slaa! Salva amechanganyikiwa kwa kuitetea Ikulu kwa kutumia maneno ya kijijini kwao Ijumbi! Uzabinazabina na kuchanganyikiwa anakosema ndugu Salva ndo nini? Mwl.Nyerere alisema Ikulu ni mahali patakatifu! Nashangaa maneno haya yamegongwa muhuli wa Ikulu kumkejeli na kumdhalilisha Mtanzania mzalendo dr.Slaa. Serikali ilitenga sehemu inaitwa Mirembe pale Dodoma ili kuwaweka vichaa na waliochanyikiwa sasa Salva badala ya kumpeleka huko dr.Slaa yeye anakimbia kuwataarifu watanzania kuwa mzee wetu dr.Slaa ame'chizi'! Tukueleweje Salva? Ndugu wanaJF,Salva ndo chizi,tena chizi aswaa! Salva tangu ahitimu pale Rubya Seminari,amelelewa kwa karibu na babake mdogo mzee Francis Kadogo wa Nyamagoma kijijini Katare,Buganguzi karibu kwa Afande A.Tibagaina,ila Salva alipokuja mjini ameitelekeza familia yake,na Mzee Kadogo yupo ktk siku za mwisho wa maisha yake kwa ugumu wa maisha! Mzee Francis Kadogo analaani kitendo cha Salva kumtupa afe kwa dhiki! Mzee amepooza takribani miaka 10 hawezi kunyanyuka wala kutoka alikolala wakati Salva amehamia ikulu kula raha kama vile ni mtoto wa msoga,chalinze. Huyu naona amechanyikiwa zaidi ya mwenzake dr.Slaa aliyetueleza kodi yetu ilipo! Amesahau alikotoka na mola atamlipa! Salva anakula na kulala pale Mango garden kisha kwenye nyumba yake pale pembeni mwa Mango ikingali mzee Kadogo anaishi nyumba ya udongo,mbavu za mbwa! Mzee Kadogo anaishi kwa kuuza Gongo/local brew konyagi na Rubisi,kwa msaada wa mke wake,MA Belena na watoto wao walio na ufukara wa kutupwa! Sasa nani Mzabinazabina na aliyechanganikiwa,dr.Slaa mzalendo au Salva mlinzi wa ikulu?? Dunia hadaa,ulimwengu shujaa,kwa kuwatelekea mzee Kadogo na Ma Belena,mi namuona Salva ndo mzabina zaidi ya wale wazalendo anaowakashifu! JF mshauri uyu mzamiaji aijue familia yake kwanza kabla ya kuwakoromea wenzie. Salva, kwangu ,amechanganyikiwa yeye!
 
Inaonekana una data zake nyingi,hebu tumwagie hapa ili nasi wana JF tupate kuzijua.
Kiukweli huyu Salva kauli zake zimeidhalilisha Ikulu na kuishusha hadhi yake,sijui nani alimpa uhuru huu wa kusema maneno ya hovyo ambayo hayana hata chembe ya ustaarabu na heshima?
Mwisho wa siku tutakuja ona matusi ya wazi yanatamkwa hadharani kama tabia hii haitakemewa.
 
RA anajua wamiliki maana yeye ndo amepewa Power of Attorney ya kampuni ya Dowans.
 
Inaonekana una data zake nyingi,hebu tumwagie hapa ili nasi wana JF tupate kuzijua.
Kiukweli huyu Salva kauli zake zimeidhalilisha Ikulu na kuishusha hadhi yake,sijui nani alimpa uhuru huu wa kusema maneno ya hovyo ambayo hayana hata chembe ya ustaarabu na heshima?
Mwisho wa siku tutakuja ona matusi ya wazi yanatamkwa hadharani kama tabia hii haitakemewa.

ni kweli uyu jamaa namuelewa kiasi chake,hata pale alipokuwa anazunguka juani kunadi magazeti,leo analeta mambo ya ajabu ajabu,haiwezekani!
 
sijui nani alimpa uhuru huu wa kusema maneno ya hovyo ambayo hayana hata chembe ya ustaarabu na heshima?
Mwisho wa siku tutakuja ona matusi ya wazi yanatamkwa hadharani kama tabia hii haitakemewa.

Haya ni matokeo ya kuokota watu mitaani na kuwapa vyeo vikubwa serikalini bila kufanyiwa vetting na kutokuwa na uzoefu wa kufanya kazi za serikali.Ndiyo maana barua iliyoandikwa na ikulu inafanana na mashairi ya taarabu,tutalajie vitu vya ajabu zaidi.Ipo siku inakuja kutokea ikulu inajibu tuhuma zilizotolewa na wanasiasa kwa kusema wananchi achaneni nao hao msisikilize habari za kisen....Ndipo tunapoelekea.
 
Ee Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, tunakuomba umzidishie busara na ujasiri Dr. Willibrod Slaa,
Uwape Watanzania moyo wa kujiamini ili waepukane na nidhamu ya uwongo.
Uwape polisi hekima ili wasipambane na wananchi wanaotetea haki yao pamoja na ya polisi hao.
Ee Mungu utuepushe na wanafiki kama EL, RA, AC na JK wanaovaa ngozi ya kondoo kumbe wao ni mbwa mwitu.

Tunaomba utusikie, Amina.
 
...aachane na tabia ya kutapatapa na uzabinazabina yenye lengo la kuwapaka watu watope.
...ilishajipaka matope tangu kwenye matumizi ya 'blogspot' kama 'official website' ya Ikulu. Its a crap popote duniani!
 
ndiye huyu salva wa pale Mk karibu na AM anatoa maneno haya siamini, simpi tena mkono wangu kwani una damu mbaya ya Ufisadi, haya maneno labda anayapata kwa machangu wa pale meridiani mtu msomi kama yeye awezi kuongea hivyo, Yeye gazeti lake liliponunuliwa na RA(Mtanzania na Rai), akawa wakala wa habari za Richmond ilipobanwa akahamia ikulu, Yeye ndiye aliyekuwa wa kwanza kumbana rais Nkapa enzi za Gazeit lake la RAI na Mtanzania akiwa na Jenerali Ul-- kabla ya kunyanganywa uraia na Kuitwa mkimbizi toka Burundi, leo ndio kiongozi wa Kutetea magizi yenye Giriba ya kujirimbikizia mali
 
Hayo yaliyosemwa kwa Salva yanatosha; si mnajua mheshimiwa huyo aliwahi kupewa kondrasi na Richmond ya uafisa mahusiano, uenda mkataba huo uliridhishwa pia kwa Dowans.
 
Ndugu wanaJF nimesikitishwa sana na kauli alizotoa msemaji wa ikulu,ndugu Salva Rweyemamu juu ya wanaohoji uhalali wa Dowans Tanzania Ltd,kama dr.Slaa! Salva amechanganyikiwa kwa kuitetea Ikulu kwa kutumia maneno ya kijijini kwao Ijumbi! Uzabinazabina na kuchanganyikiwa anakosema ndugu Salva ndo nini? Mwl.Nyerere alisema Ikulu ni mahali patakatifu! Nashangaa maneno haya yamegongwa muhuli wa Ikulu kumkejeli na kumdhalilisha Mtanzania mzalendo dr.Slaa. Serikali ilitenga sehemu inaitwa Mirembe pale Morogoro ili kuwaweka vichaa na waliochanyikiwa sasa Salva badala ya kumpeleka huko dr.Slaa yeye anakimbia kuwataarifu watanzania kuwa mzee wetu dr.Slaa ame'chizi'! Tukueleweje Salva? Ndugu wanaJF,Salva ndo chizi,tena chizi aswaa! Salva tangu ahitimu pale Rubya Seminari,amelelewa kwa karibu na babake mdogo mzee Francis Kadogo wa Nyamagoma kijijini Katare,Buganguzi karibu kwa Afande A.Tibagaina,ila Salva alipokuja mjini ameitelekeza familia yake,na Mzee Kadogo yupo ktk siku za mwisho wa maisha yake kwa ugumu wa maisha! Mzee Francis Kadogo analaani kitendo cha Salva kumtupa afe kwa dhiki! Mzee amepooza takribani miaka 10 hawezi kunyanyuka wala kutoka alikolala wakati Salva amehamia ikulu kula raha kama vile ni mtoto wa msoga,chalinze. Huyu naona amechanyikiwa zaidi ya mwenzake dr.Slaa aliyetueleza kodi yetu ilipo! Amesahau alikotoka na mola atamlipa! Salva anakula na kulala pale Mango garden kisha kwenye nyumba yake pale pembeni mwa Mango ikingali mzee Kadogo anaishi nyumba ya udongo,mbavu za mbwa! Mzee Kadogo anaishi kwa kuuza Gongo/local brew konyagi na Rubisi,kwa msaada wa mke wake,MA Belena na watoto wao walio na ufukara wa kutupwa! Sasa nani Mzabinazabina na aliyechanganikiwa,dr.Slaa mzalendo au Salva mlinzi wa ikulu?? Dunia hadaa,ulimwengu shujaa,kwa kuwatelekea mzee Kadogo na Ma Belena,mi namuona Salva ndo mzabina zaidi ya wale wazalendo anaowakashifu! JF mshauri uyu mzamiaje aijue familia yake kwanza kabla ya kuwakoromea wenzie. Salva, kwangu ,amechanganyikiwa yeye!
Replace with Dodoma
 
Back
Top Bottom