Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa TISS Mstaafu, Apson Mwang'onda

Ukisoma vizuri utaona kuwa ni yeye Apson ndio aliomba kwenda kumuona JPM na sio kama ulivyoandika wewe; huyu Apson siku za karibuni afya yake ilizorota inawezekana alikwenda kuomba msaada!!!!
Nimekuelewa,sasa 2020 kazi na bata
Nalog off
 
Ujinga tu, sasa hii nayo ni newsworth. Yaani kila kitu sasa ni PR event. Wamekutana! So what? Ina msaada gani kwetu sie tunaohangaika huku barabarani. Eti kuna mtu humu anasema kabisa eti huu uzi umefanya watu wa kitengo kujaa humu na kufuatilia, kufuatilia nini? Kuna popoma jingine linazungumzia jinsi huyo mstaafu alivyoshika mkono wa jiwe, eti kuna medani hapo, sijui karate bla blah,something special! Taifa la wapumbavu! Tunapoteza muda kujadili ujinga na kujaza server. Hata kama ni show of force kwa Membe, sisi tunahitaji kujua? Ulimbukeni na ushamba umetamalaki. So childish.
 
tabu tupu!
 
Hiyo taarifa ya ikulu ina ukakasi ukiomba kuonana Na Raisi wakati wewe sio public officer hiyo ni private appointment .Ikulu haiwezi geuza private appointment kama public appointment Na kuitolea press release.No.
YEHODAYA nakubaliana na wewe haikuhitaji kutangazwa hivyo, lakibi kwa kuwa Rais magufuli anajarihu kuonesha kuwa anangwa mjono na mamafia wengine ndio maana inamlazimu afanye hivyo.
 
 
fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…